Mkuu unampangia mtu cha kufanya na nyumba yake?Nimekuja hapa mkoani kikazi. Sasa nimefikia kwa rafiki yangu ambaye ana wiki tangu ahamie kwenye nyumba mpya.
Sasa nilienda matembezini narudi nakuta chumba kimesafishwa, kitanda kimetandikwa, miswaki imeondolewa bafuni na kufungiwa kwenye kabati kisa tu wageni wazungushwe vyumbani.
Kimsingi nime mind na ninafanya juu chini kuondoka hapa fasta.
Huu ni ushamba uliopitiliza.
Kwa nini wageni wasizungushwe kabla hatujahamia au waishie sebuleni!
Nimekuja hapa mkoani kikazi. Sasa nimefikia kwa rafiki yangu ambaye ana wiki tangu ahamie kwenye nyumba mpya.
Sasa nilienda matembezini narudi nakuta chumba kimesafishwa, kitanda kimetandikwa, miswaki imeondolewa bafuni na kufungiwa kwenye kabati kisa tu wageni wazungushwe vyumbani.
Kimsingi nime mind na ninafanya juu chini kuondoka hapa fasta.
Huu ni ushamba uliopitiliza.
Kwa nini wageni wasizungushwe kabla hatujahamia au waishie sebureni
Unapewa perdiem na ofisiNimekuja hapa mkoani kikazi. Sasa nimefikia kwa rafiki yangu ambaye ana wiki tangu ahamie kwenye nyumba mpya.
Sasa nilienda matembezini narudi nakuta chumba kimesafishwa, kitanda kimetandikwa, miswaki imeondolewa bafuni na kufungiwa kwenye kabati kisa tu wageni wazungushwe vyumbani.
Kimsingi nime mind na ninafanya juu chini kuondoka hapa fasta.
Huu ni ushamba uliopitiliza.
Kwa nini wageni wasizungushwe kabla hatujahamia au waishie sebuleni!
Alafu analalamika kama ni haki yake, huyu ni ile aina ya wageni anafikia Kwa mtu alafu anapewa chumba cha kulala akiamka asubuhi akitoka anafunga room anaondoka na funguo kama kwake wakati kuishi kwa mtu Kuna kanuni zake ambapo mojawapo ni kuacha privacy yako Kwa mwenyeji wakoUnapewa perdiem na ofisi
Unaenda kufikia kwa rafiki,hizo ndio changamoto zake,
Hata kama hujapewa perdiem, sio sawa kufikia kwa watu,ikiwa umeenda kikazi
Acha gubu kama la MakondaNimekuja hapa mkoani kikazi. Sasa nimefikia kwa rafiki yangu ambaye ana wiki tangu ahamie kwenye nyumba mpya.
Sasa nilienda matembezini narudi nakuta chumba kimesafishwa, kitanda kimetandikwa, miswaki imeondolewa bafuni na kufungiwa kwenye kabati kisa tu wageni wazungushwe vyumbani.
Kimsingi nime mind na ninafanya juu chini kuondoka hapa fasta.
Huu ni ushamba uliopitiliza.
Kwa nini wageni wasizungushwe kabla hatujahamia au waishie sebuleni!
Umesafiri kikaziNimekuja hapa mkoani kikazi. Sasa nimefikia kwa rafiki yangu ambaye ana wiki tangu ahamie kwenye nyumba mpya.
Sasa nilienda matembezini narudi nakuta chumba kimesafishwa, kitanda kimetandikwa, miswaki imeondolewa bafuni na kufungiwa kwenye kabati kisa tu wageni wazungushwe vyumbani.
Kimsingi nime mind na ninafanya juu chini kuondoka hapa fasta.
Huu ni ushamba uliopitiliza.
Kwa nini wageni wasizungushwe kabla hatujahamia au waishie sebuleni!
Mshubi na mhaya vita kweli kweliMuhaya huyo ndo wana hako katabia mpk chooni mgeni atapelekwa, tabia ya kishamba sana
Ndo nini?Mshubi na mhaya vita kweli kweli
kweli mkuu wahaya unatujua vizuri hii ni tabia ya wahaya wengi. nina shemeji yangu mke wa bro wangu mkubwa ana nyumba kibao hapa dar anazipangisha. nawaonea huruma wapangaji wake maana ana tabia kisa nyumba zake anaweza kuja na mtu ukashangaa anapaki gari anamwingiza nyumbani kwako jikoni, chooni vyumbani eti anamtembeza.Anashangaa kama mtalii tu
Kumbe, wewe inakuuma nini, swali fikirishi je umepangaAnatembezwa ajionee maajabu ya ujenzi.
Its a way ya mwenye nyumba kujitukuza.
Nadhani mtazamo wako si sahihi! Mara nyingi, marafiki hupenda kuappriciate kitu mwenzake amefanya ili nao wajitahidi. Aidha wakati ukiwa unajenga, rafiki wa ukweli atakuonesha penye tatizo ili marekebisho yafanyike kabla mambo hayajaenda mrama. Fıkra Chanya muhimu hata kwa KapeaceAnatembezwa ajionee maajabu ya ujenzi.
It’s a way ya mwenye nyumba kujitukuza.
😂😂😂ni ulimbukeni tu unawasumbuakweli mkuu wahaya unatujua vizuri hii ni tabia ya wahaya wengi. nina shemeji yangu mke wa bro wangu mkubwa ana nyumba kibao hapa dar anazipangisha. nawaonea huruma wapangaji wake maana ana tabia kisa nyumba zake anaweza kuja na mtu ukashangaa anapaki gari anamwingiza nyumbani kwako jikoni, chooni vyumbani eti anamtembeza.
sijui hajawahi kupata mtu wa kumzingua. halafu wakati mwingine unaweza kuwa unamwonyesha mtu vitu ambavyo kwake ni kawaida tu wewe upo tu unajisifu. sema sifa fani yetu mtuvumiliage tu.
Hadi chooni? Unamzungusha akague nyumba ye ni injinia kwani acheni ushamba nyie watuNadhani mtazamo wako si sahihi! Mara nyingi, marafiki hupenda kuappriciate kitu mwenzake amefanya ili nao wajitahidi. Aidha wakati ukiwa unajenga, rafiki wa ukweli atakuonesha penye tatizo ili marekebisho yafanyike kabla mambo hayajaenda mrama. Fıkra Chanya muhimu hata kwa Kapeace
unadhani basi tunakuwa tunajua kuwa tunajisifu, inatokea tu automatically actually by the way.😂😂😂ni ulimbukeni tu unawasumbua
Jenga yako kwanzaNimekuja hapa mkoani kikazi. Sasa nimefikia kwa rafiki yangu ambaye ana wiki tangu ahamie kwenye nyumba mpya.
Sasa nilienda matembezini narudi nakuta chumba kimesafishwa, kitanda kimetandikwa, miswaki imeondolewa bafuni na kufungiwa kwenye kabati kisa tu wageni wazungushwe vyumbani.
Kimsingi nime mind na ninafanya juu chini kuondoka hapa fasta.
Huu ni ushamba uliopitiliza.
Kwa nini wageni wasizungushwe kabla hatujahamia au waishie sebuleni!
Nikiĵa huko sikanyagi kwako, watu mmekuwa na roho.mbaya sana.Mgeni una gubuuu!
Inabidi chumbani wakuweke kaujumbe ukutani; "unayoyakuta hapa, yaache hapa hapa".