Tabia ya kuwa kwenye daladala na kuongea na simu kwa sauti ya juu ni UJINGA

Tabia ya kuwa kwenye daladala na kuongea na simu kwa sauti ya juu ni UJINGA

Hyrax

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2023
Posts
1,458
Reaction score
4,409
Kuna watu hawana soni kabisa unawezaje kuwa kwenye daladala ya umma halafu ukipigiwa simu unaongea kwa sauti ya juu sijajua lengo la watu wa aina hii kwamba wote tukusikie au ni kutafuta approval kwamba wewe ni nani. Utapeli tu
 
-Kuna wale ambao hawawezi kujihimili kimaongezi.
-Kuna ambao wana asili/DNA ya upigaji kelele.
-Kuna wale ambao yanawakuta tu bila kujielewa/it catches them without their awarenesses.
-Kuna wanaoamini wakiongea kwa sauti ya chini au ya kawaida,anayewasiliana naye hamsikii vizuri.
-Kuna wale ambao huongezewa sauti,ujasiri na fujo kutokana na akili kupata moto aidha kwa vilevi au kuwa na "akili nyingi" kupitia kiasi.
NB;Tuvumiliane.Mara nyingine huwa mbadala wa mziki.
 
Kuna watu hawana soni kabisa unawezaje kuwa kwenye daladala ya umma halafu ukipigiwa simu unaongea kwa sauti ya juu sijajua lengo la watu wa aina hii kwamba wote tukusikie au ni kutafuta approval kwamba wewe ni nani. Utapeli tu
Aisee! Upumbavu sana Yaani!
 
Hii ya kununu gari ni objective ambayo may not be realistic to be achieved by many folks. Ila upo uwezekano wa ku control unnecessary noise kwenye usafiri wa umma.
Sawa kabisa
Kuna siku nilipanda gari. Nilikuwa natokea msibani kichwa kimevurugika na zile shughuli za kutwa nzima mara mortuary mara wapi. Nimepanda nimekaa kwenye seat mbele yangu kuna mdada akaanza kutusikilizisha ma video ya yake sijui watu wanacheka sijui nn ? Kwa sauti ALIN8KWAZA SANA
 
Hahahaha Raha Sana upigiwe simu za kiofisi au mates lazima uvimbe kdg maisha mafupi haya
 
Kuna wale sio tu kuongea kwa sauti bali na pia huwa wanafanya ishara za mikono hewani ambapo anaweza hata kukudiba kwenye macho
 
Kuna watu hawana soni kabisa unawezaje kuwa kwenye daladala ya umma halafu ukipigiwa simu unaongea kwa sauti ya juu sijajua lengo la watu wa aina hii kwamba wote tukusikie au ni kutafuta approval kwamba wewe ni nani. Utapeli tu
Ujinga wa hovyo kabisa
 
Hii ya kununu gari ni objective ambayo may not be realistic to be achieved by many folks. Ila upo uwezekano wa ku control unnecessary noise kwenye usafiri wa umma.
Mkuu nakuelewa ila inabidi utambue kuwa tuko tofauti na kila mtu na mapungufu yake hatuwezi wote kufanana.
 
Huo ni usafiri wa umma.

Ulitaka eneo la umma liwe kimya na tulivu kama upo kwenye ka IST kako ukipigwa na AC?
​
 
Hata enda msalimia mtu ukajifanya bize na simu

Mpo mmekutana mahali badala ya story mnaanza chart kwa simu hhaaaa
 
Mkuu nakuelewa ila inabidi utambue kuwa tuko tofauti na kila mtu na mapungufu yake hatuwezi wote kufanana.
Ndio maana nasisitiza uwepo wa utaratibu wa kuzuia makelele ya kipuuzi. Mbona tumeweza kuzuia uvutaji wa sigara , hivyo hata kelele tunaweza kuzuia.
 
Back
Top Bottom