Tabia ya kuwa kwenye daladala na kuongea na simu kwa sauti ya juu ni UJINGA

Sio tu kwa daladala, mahala popote pale kuongea na simu mbele za watu sio busara.

Kwanza weka simu yako vibration ama mlio utakaousikia wewe pekee, kama uko na watu pokelea pembeni simu yako na kwa sauti ya chini.

Si kila mtu anataka kufahamu unaongea nini na nani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…