Tabia ya kuwasema Watu Kwa ukanda haipendezi, kuna viongozi walikuwa wakiwasema Wachaga kila mara!

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Wakubwa kwema!

Sitasema mengi!
Kuna viongozi sijui ni wivu, sijui ni kutokujiamini, sijui ni Jambo gani, yaani kila mara wakisimama huropoka vitu ambavyo kimsingi havipendezi masikioni. Wachaga wezi! Wale ndugu zetu ni wezi!

Mfano ikitokea wizi umetokea, kiongozi atasema wewe ni mtu wa wapi, Kwa bahati mbaya asipokuwa mchaga, utasikia kiongozi huyo akisema; nilifikiri wewe ni mtu wa Kule, maana Wale ni wezi.

Viongozi wa namna hiyo sio tuu Kwa wanachuki Bali pia ni wachochezi wa chuki.

Kabila Fulani kubobea katika biashara hakulifanyi liitwe wezi,
Yapo makabila hapa Tanzania Kama Wachaga, Wakinga, Waha na wapemba wamejikita kwenye sekta za biashara, sijawataja Wahindi na waarabu Kwa sababu Fulani.

Makabila hayo yakijiingiza kwenye Siasa kuna baadhi ya watu huwaundia zengwe na kutambaza sumu mbaya kwenye jamii kuwa jamii Fulani ni wezi Jambo ambalo sio Kweli.

Nataka kusema kwenye nchi yetu kila kabila na ukanda linakitu chake spesho limebobea.

Nitakupa mifano ifuatayo;

1. Biashara
Hapa wengi ni Wachaga, wakinga, Waha, wapemba Kwa asili ya Watanzania OG. Wahindi na waarabu Kwa Watanzania wageni.

2. Michezo
2.1. mchezo wa ngumi(masumbwi) na mpira wa miguu
Waluguru, wazaramo, Wabondei, wazigua, Wandendereko na wakwere pamoja na makabila ya ukanda wa Pwani.

2.2. mchezo wa Drafti na bao
Makabila ya Pwani

3. Sanaa
3.1. muziki
Waha na jamii za wakigoma, Watu wa Pwani, Wasukuma, Wachaga,

3.2. Fasihi
i/ Fasihi andishi (Riwaya, Tamthilia, na ushauri)
Watu wa Pwani Kwa makabila Yao, Wanyamwezi, Wapare.

ii/ Fasihi simulizi ( Ngoma, semi, ushauri n.k)
Watu wa Pwani Kama Wamakonde, Wazaramo, wasambaa, pia Wangoni.

3.3. Ususi na uchongaji
Makabila ya Pwani Kama wamakonde, wazigua, wabondei n.k

4. Ulinzi na Usalama
Makabila ya kanda ya ziwa hasahasa, Wakurya, Wajita, wajaluo, Wasukuma.

5. Siasa na utawala
Makabila ya watu wa Pwani, Wanyamwezi, Wachaga, Waha, wahehe

6. SHERIA
Wapare, wahaya, Wanyakyusa

7. Wasomi na wanataaluma
Wahaya, Wakerewe, Wajita,

8. Media na vyombo vya habari
Wachaga, wameru, Wahaya, wasukuma

9. Mapishi
Watu wa makabila ya Pwani, na Wanyamwezi, Waluguru

10. Kilimo
Wanyakyusa, Wasukuma,

11. Wafugaji
Wamasai, wasukuma, Wagogo

12. Wavuvi
Watu wa Pwani Kwa jamii zao, Wasukuma Kwa jamii zao, Waha,

13. Wachungaji na viongozi wa Dini
Wanyakyusa, Wahaya, Wachaga, Wahehe

14. Masheikhe, maimamu, na masharifu
Watu wa jamii ya Pwani, Wanyamwezi,

15. Nyimbo za Injili
Wanyakyusa na watu wa Mbeya, Wahehe na jamii zao za Iringa,

16. Utabibu na ufamasia
Wajita, wakurya na Wasukuma pamoja na Wahaya.

Na Fani zingine,

Tatizo linakuja pale mtu anaapojiingiza kwenye Fani ambayo anakuta jamii nyingine ambayo kuna wabobezi na kutaka kuwapeleka anavyotaka. Hapo ndipo tatizo linapotekea.

Kila Fani inaendana na hulka na tabia za jamii Fulani.

Mfano huwezi jiingize kwenye Upolisi au uanajeshi ilhali unaleta tabia za jamii yenu ambayo ina upole na ulaini laini, au Kupenda kubembelezana.

Au Kama umezoea Mabavu na Lugha ngumu kutoka kwenye jamii yenu huwezi jiiingiza kwenye biashara Kwa maana biashara inahitaji lugha tamu na diplomasia sio kulazimishana.

Ndio maana usishangae kwenye sekta Fulani kukawa na watu wengi kutoka jamii moja, hiyo ni nature,

Siasa inahitaji watu wajanja wajanja, wanafiki na wenye lugha tamu za faraja sasa unapotoka kwenye jamii yenye falsafa na mtazamo wa kusema ukweli au kulazimisha mambo Siasa itakushinda mapema Sana.

Muziki na Sanaa unawahusu watu wasio na aibu, na wanaopenda kubadilisha muonekano wao kila mara, mara kusuka nywele, mara kuvaa vipini, mara kutia aibu Kwa makusudi ili utrend, sasa Kama umetoka jamii zilizo na misimamo mikali utaona muziki ni mgumu na haufai lakini kumbe sivyo Kabisa.

Kila jamii inafani Fulani ambayo imebobea huko.

Ukijingiza kwenye Fani za jamii zingine usilete ujuaji na kupangia watu chakufanya.

Umepewa Lifti unataka kubonyeza honi.
Umepewa ng'ombe uchunge alafu unataka na kukamua maziwa kabisa
Watu waache ubaguzi lakini watu waache kutafuta USAWA na kufanana.
Ukiwakuta wenyeji kuwa mpole utaheshimiwa.

Nimeeleweka!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Kwa mwandiko tu wewe ni mchaga ful ukabila.

Acha ramli chonganishi
 
kipindi kile Bashite alizungumza kwenye msiba wa Mengi kuwa Mengi alimsaidia pesa pamoja na kwamba alikuwa ni mchaga
 
Umejitahidi na umeeleweka,Kwa kumalizia tuu,ukabila,ukanda,udini haufai kujenga nchi.
 
..ubaguzi umeletwa na Ccm.

..utasikia kiongozi anasema, "..sisi watu wa kanda...."

..Sa100 ana nafasi na wajibu wa kuwaunganisha Watanzania.
 
CCM wakiona tu mtu fulani ni tishio anakaangiwa sumu. Wachaga ni very intelligent beings, tunawaogopa, sasa ili kuwapunguza makali ndio mizengwe , sumu na fitina. Ila hakika hawa watu ni wazuri sana, wachapa kazi, mapungufu walionao mmoja mmoja na ni ya kila kabila na binadamu.
 
Hauna data uzi unakaa kibabaishaji mno kama mtoto wa form4 jaribu kuwa serious unapoleta uzi humu ili uweze kujadiliwa.. umechanganya sana vitu a lot of irrelevancies
 
Back
Top Bottom