Lightysh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2024
- 434
- 1,551
Achana nao hao wana stress za maishawewe ndio safi, wengine ukiwaambia dada habari wanajibu kaka tafadhali hii ngoma ya ghali 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana nao hao wana stress za maishawewe ndio safi, wengine ukiwaambia dada habari wanajibu kaka tafadhali hii ngoma ya ghali 😂
🤣🤣🤣🤣😉we naye achana na watu kwan lazima salam
Nisalimie mimiHata wababa wengi hawapendi shikamoo, watu hawataki uzee
mimi nasemaga 'shkaoo' ya chapu chapu ukijisumbua kuitika shauri yako nishafika mita 100 mbeleIla hii tabia haijaanza leo, ni ya kitambo sana, nakumbuka kipindi nipo primary kuna mzee ana mvi kabisa zimejaa kichwani ila anaonekana ni wazee wa mjini kwa mambo yake...
Kila siku nilikua napita hapo kwake kuelekea shule ilikua nikimsalimia shikamoo anajibu salama mjukuu wangu, hajawahi kuitikia marahaba hadi nikaachaga kumsalimia, nikimkuta nje kwake nampita maana nilianza kumtilia shaka.
Unataka kusema nini mkuu si unyooshe maelezoKuna mama mmoja alikuwa mtu mzima sema ana mambo ya ujana sana ... Watoto wakimsalimia anakausha na kwa upanda wa vijana kabla hujamsalimia anakuwahi kwa kuanza kukusalimia.
Mungu si mchoyo binti yake akabeba ujauzito na sasa ana mtoto anaitwa Bibi .. Yale madoido yote kapuni na sasa analea mjukuu baada ya mtoto kumtelekeza mtoto.
Salamu na heshima haiombwa wala kulazimishwa bali ni kipimo cha utu.
Kwamba tafuta pesa ili jambo la kuamkia au kuamkiwa isiwe ishu kwakoHapo wanatufundisha nini sasa?
Hahaa hii safimimi nasemaga 'shkaoo' ya chapu chapu ukijisumbua kuitika shauri yako nishafika mita 100 mbele
ShikamooNisalimie mimi
Wazee wa ovyoHapo wanatufundisha nini sasa?
Hatutaki, msitulazimishe kufanya vitu ambavyo hatupendi......Naomba niulize swali kwa watu wazima hasa wanawake. Hivi huwa mnafikilia nini unaposalimiwa na mtu unayemzidi umri mpaka mnashindwa kuitikia?
Unakuta mama mzima analingana na mama yako au zaidi ukimwamkia shikamoo anakujibu Safi kama vile mnalingana. Ni nini hasa kinachopelekea msikubali kusalimiwa na wadogo zenu na watoto wenu? Nawasilisha
= mnafikiriaNaomba niulize swali kwa watu wazima hasa wanawake. Hivi huwa mnafikilia nini unaposalimiwa na mtu unayemzidi umri mpaka mnashindwa kuitikia?
Unakuta mama mzima analingana na mama yako au zaidi ukimwamkia shikamoo anakujibu Safi kama vile mnalingana. Ni nini hasa kinachopelekea msikubali kusalimiwa na wadogo zenu na watoto wenu? Nawasilisha