Tabia ya ovyo watu wazima kutoitikia salamu ipasavyo za wanaowazidi umri

Salamu ya nn mjin apa salamu peleka Bush kwenu huko
 
Kwa uelewa wangu mie wanawake wengi hawanaga shida kupewa shikamoo na wadogo zao,inawezekana wewe unawaamkia watu wa umri wako/rika lako.
Sio rika langu ni wanalingana naa yangu.
 
Salami haigombi.....
 
Shikamoo- niko chini ya miguu yako.!
Mimi napenda kusalimia “Za saa hizi” nimemaliza kuna mibabu haitaki uzee
 
Ukihitajika utaitwa mkuu
 
Nini maana ya Shikamoo ? (Nipo chini ya miguu yako / nashika miguu yako)
 
Ukiona hawaitikii salamu ipasavyo fahamu kwamba uchumi wako hauridhishi mbele yao tafuta ela salamu utaziona upepo kila kona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…