Mbona unajibia? kwani secretariat hawajui cha kufanya? acha mawazo ya kibaguziAtasema ijumaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unajibia? kwani secretariat hawajui cha kufanya? acha mawazo ya kibaguziAtasema ijumaa
Jibu hoja ya mto thread acha kujibu kwa short cut unaonekana una mawazo mepesi sana na uwezo mdogo wa kufikili yaani maelezo ya mtoa hoja huoni logic kabisa! Da kweli Elimu yetu iko chini sana. Pole sana kwa kuandikia ujingaHakuna siku za juma zile 7 hakuna mtu hawi kwenye ibada , labda kama unataka wakupendelee wewe , Uzi wako unatakiwa usomeke mnipendelee siku ya jumamosi, na tunaweza kukupendelea na jumamosi tukaibadilia jina ikawa ijumaa
Ndiyo mawazo ya great thinker wa jamiiforums du! kazi tunayo nchi hii!Hakuna ulazima wa kwenda... Usiumize kichwa...
Siku za kazi ndiyo hoja yakeUna shauri usaili uwe siku gani?
Jibu la kipuuzi kweli, kuna watu humu wanapaswa kufukuzwa jamiiforums maana tuna wajinga wengi! jibu hoja acha kutoa majibu mepesi wengine hapa tunakuona kichwa chako kimejaa ujinga. jibu hoja bro tuone uwezo wako wa kuchambua mambo hatutaki majibu ya kijingaMademu jumamosi mnatongoza lakini kufanya interview ni issue au sio?
Mbona nimejibu hoja mkuu? Wasabato nimeishi nao sana ukiwafuatisha hakuna kitu utafanya.Jibu la kipuuzi kweli, kuna watu humu wanapaswa kufukuzwa jamiiforums maana tuna wajinga wengi! jibu hoja acha kutoa majibu mepesi wengine hapa tunakuona kichwa chako kimejaa ujinga. jibu hoja bro tuone uwezo wako wa kuchambua mambo hatutaki majibu ya kijinga
Hakuna logicJibu hoja ya mto thread acha kujibu kwa short cut unaonekana una mawazo mepesi sana na uwezo mdogo wa kufikili yaani maelezo ya mtoa hoja huoni logic kabisa! Da kweli Elimu yetu iko chini sana. Pole sana kwa kuandikia ujinga
Waifanye hata siku ya Pasaka waone kama nitaacha kwendaJaman ikitokea umeitwa kwenye usaili siku ya jumamosi ni bora uende tu. Kupata kazi ni kazi jamani
Unaenda zako ibada ya mkesha,unapiga energy asubuh..huyoo..Waifanye hata siku ya Pasaka waone kama nitaacha kwenda
Nenda kanisani kazi na usaili achana naoKumezuka tabia ya baadhi ya Waajiri ikiwemo Sekretarieti ya Ajira kupanga usaili siku za Jumamosi ( hususani Usaili wa Mchujo).
Kitendo hiki ni Kinatafsiriwa kama Ubaguzi (Discrimination) kwa waumini wa Kanisa la Waadvetista Wasabato ambao Jumamosi ni siku ya Ibada therefore, by doing so, their opportunity in employment is nullified and impaired. Naomba nieleze kidogo swala ya ubaguzi katika ajira katika tafsiri ya Kisheria kwa ufahamu wangu mdogo nilionao.
Article Na.1 of the Decrimination (Employment and Occupation) Conventions, 1958 which then rectified by Tanzania ni 2002, this practice can be termed as Employment/ occupational Discrimination so “Any distintion, exclusion on preference made on basis of race, sex, colour, religion, political opinion, national extraction or social origin, which has the effect of nullifying or impairing equality of opportunity or treatment in employment or occupation”. Meanwhile, discrimination employment and occupation is not allowed under Section 7 (4) of Employment and Labour Relation Act No.6 /2004 as follows
“No employer shall discriminate, direct or indirectly against an employee in any employment policy or practice or any of the following grounds; colour, nationality, tribe or place of origin, race, natural extraction, social origin, political opinion or region, sex ,gender, pregnancy, marital status or family responsibility, disability, HIV/AIDS, Age or station of Life”
According to Section 7(9) of of Employment and Labour Relation Act No.6 /2004
“An “employment policy or practice “ includes any policy or practice relating to recruitment procedures, advertising and selection criteria appointment and appointment process, job classification and grading, renumeration, employment benefits and terms and conditions of employment, job assignments, the working environment and facilities, training and development, performance evaluation systems, promotion, transfer, demotion, termination of employment and disciplinary measures”
Kwa msingi wa maelezo hayo ya Kisheria, kwa heshima kubwa, naomba Sekretarieti ya Ajira ifikirie upya na kusitisha mara moja tabia ya kupanga usali siku za mapumziko ya mwisho wa juma (Weekends) ikijumuisha Jumamosi ili kuwa na mchakato wa ajira usiokuwa na ubaguzi. Aidha, nawashauri wafanye utafiti kwa njia ya maoni wa sababu zinazofanya baadhi ya Waombaji wa kazi kutohuduria Interview wanaweza kupata sababu nzuri za kuboresha mchakato huo.
Nina imani ombi litaapokelewa ili kuwapa Haki sawa wale ambao Jumamosi ni siku yao rasmi ya Ibada.
Nawasilisha kwa ajili ya maoni na ushauri
Majengo watapata wapi? Hiyi wikendi wanachuo wanakuwa offUwe siku ya kazi ya kawaida ambayo haitakwaza iamani ya mtu
Unajua Kuna siku ya kuabudia na serekali imeifanya ni siku ya kazi kabisa , sasa wewe unataka logic gani kwa mtoa mada siku moja tu kwa watu wachache ndio tubadili?Jibu hoja ya mto thread acha kujibu kwa short cut unaonekana una mawazo mepesi sana na uwezo mdogo wa kufikili yaani maelezo ya mtoa hoja huoni logic kabisa! Da kweli Elimu yetu iko chini sana. Pole sana kwa kuandikia ujinga
Juma 3 ingependezaAtasema ijumaa
MFANO UKAPATA HIYO KAZI, NA UKAAMBIWA UENDE UKA SIGN MKATABA J.MOSI UTAENDA HUENDI??Unajisumbua kuleta hoja hii hapa, majibu ya watu wanaosnesha hakuna anaejali sana sana wanajibu kwa kejeli, lakini siyo haki kuwatendea hivyo kutokana imani yao. Serikali inapaswa kuheshimu imani ya kila Mtanzania hata wanaoamini usabato ni watanzania kama wengine na wanahaki kama nyie mnao kejeli hapa. Usaili ni sehemu ya kazi hivyo ni bora ufanyika siku za kazi na zisiwe za ibada za watu na hata ijumaa hakuna haja ya kufanya hivyo kuna jumatatu mpaka alhamis haiingiliani na imani ya mtu. Kazi inayofanyika ni sehemu ya kazi na kuwaumizia wengine siyo haki.
Siku za kazi pia ni shida maana wanaofanya interview na wanaoendesha interview wengine ni wasjiriwa Wana majukumu mengine. Binafsi wasabato hata wakipata kazi ,jumamosi kwao ni shidaUnajisumbua kuleta hoja hii hapa, majibu ya watu wanaosnesha hakuna anaejali sana sana wanajibu kwa kejeli, lakini siyo haki kuwatendea hivyo kutokana imani yao. Serikali inapaswa kuheshimu imani ya kila Mtanzania hata wanaoamini usabato ni watanzania kama wengine na wanahaki kama nyie mnao kejeli hapa. Usaili ni sehemu ya kazi hivyo ni bora ufanyika siku za kazi na zisiwe za ibada za watu na hata ijumaa hakuna haja ya kufanya hivyo kuna jumatatu mpaka alhamis haiingiliani na imani ya mtu. Kazi inayofanyika ni sehemu ya kazi na kuwaumizia wengine siyo haki.