Tabia ya Sekretarieti ya Ajira kupanga usaili Jumamosi ni kama ubaguzi kwa Wasabato

Una maana hiyo Jumamosi wasabato huwa hawatendi dhambi yoyote? Vp ukiajiriwa mtu kama huyo then ikampasa kufanya kazi Jumamosi huoni kama ataleta shida? Wachague moja, kazi au kusali/kuabudu
 
Mh we nae hebu wacha kulia lia hapa,.unataka kazi nenda kwenye usaili whatever the day, hutaki kazi nenda kasali, simple. Mungu ni very brave anajua unataka kazi so hata usipoenda church siku hiyo he knows na atakubariki tu. Alafu watu wa church mindset mnakera sana[emoji34] kwani mmeambiwa kusali na kuabudu lazima.uwe church? yani mnakua as if kwenye bible imeandikwa kusali hadi uwe church, mmeshikwa na chirch mindset kiasi mkikosa mnaona kama hamjasalai, wake up pray, dress up enda kwa interview ukimaliza go back home na siku umeitendea haki, mind you watu wa church mindsets wengi nimeona ndio hua hawana hata maendeleo sababu everything theu do is for church people aonekane not God na hii inawafanya wanakua wazembe kwenye kazi zao au biashara zao sababu.mda wote anawaza church from Monday to Sunday , anataka ahudhulie kila kipindi kila ibada anasahau mambo mengine ya real life.

Siungi mkono hoja , Interview iendelee kufanyika Jumamosi sababu ndio siku ambayo 95% ya watu wanaeza kuafford kuhudhulia, hao 5% wajue tu world is not fair so wachague A or B sababu huezi ridhisha watu wote, ila wengi wakiridhika then perfect.
 
Siku za kazi pia ni shida maana wanaofanya interview na wanaoendesha interview wengine ni wasjiriwa Wana majukumu mengine. Binafsi wasabato hata wakipata kazi ,jumamosi kwao ni shida
Mimi nadhani suluhisho ni kuwa Wasabato wasiajiriwe sehemu yoyote. Wajiajiri wao ili wawe huru kulala na kusali siku nzima ya jumamosi
 
Je ni lazima uende kwenye hiyo interview? Kama huwezi fanya kazi siku ya jumamosi nani atakuajiri? Mimi nadhan ni kipimo tosha cha mtu gani ni sahihi kwa kazi husika. So kila jumamosi wewe kama huwezi ingia /fanya kazi basi wewe hufai nenda kajiajiri
 
Muheshimu Mungu Usifanye Usaili! Kama Ukiumwa Jumamosi Pia Muheshimu Mungu Kufa Usiende Hospitali
Kuna watu mnajua kuchekesha kweli kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba kufa usiende hospitali ili ubaki kumweshimu Mungu.....
 
Safi sana hii, nadhani hata ukiumwa siku ya Sabato hutoenda hospitali ili uendelee kuheshimu sabato.
 
Na waislam wakisema ijumaa wapumzike ingekuwaje yaani katika vitu ambavyo tumeingia mazima mazima waafrika ni dini mpaka wao wenyewe waliozileta wana tuona mbumbu kwa hlo.
Vp na sisi wapagani tukisema j3 mpaka ijumaa ni siku ya mapumziko?
Anyway was just joking
 
Mbona swala dogo sana hilo, kama wewe ni Muslims na huli kitimoto acha,ukitaka kula kula, lakini wakatoliki watakula tu. Wewe kama ni Msabato na usaili ni Jumamosi amua moja, nenda kama hutaki usiende full stop.
 
Mi naona usahili unafanyia j.mosi ili wasahili wapige pesa ya over time. Maana ki uhalisia usahili ni sehemu ya kazi kwa nini usifanyike siku za kazi?
Wanao sahili wengine huwa wanakodishwa kutoka sehemu mbalimbali kuanzia public sectors mpaka private sectors. So huko mara nyingi huwa wako free siku za weekend, tofauti na hapo inabidi waombe ruhusa au kuchukua leave kutoka huko wanakofanya kazi. Usikariri mkuu
 
Kweli wewe Mnyakyusa tena wa Ipinda! you people are very arrogant. Jibu hoja za mtoa mada intellectually, usijibu kama mtu asie fikili mambo kwa kina. Jibu swala usi attack watu, ukifanya hivyo binafsi nakuona uwezo wako wa understanding uko chini sanasana
 
Mbona swala dogo sana hilo, kama wewe ni Muslims na huli kitimoto acha,ukitaka kula kula, lakini wakatoliki watakula tu. Wewe kama ni Msabato na usaili ni Jumamosi amua moja, nenda kama hutaki usiende full stop.
Mshkaji uelewa wako uko chini sana pole sana, sitajibu tena message za mtu mwenye mawazo ya kipumbavu kama wewe bora hata ungekua mjinga ungesaidiwa. Badala ya kujibu swala unaandika takataka
 
Una maana hiyo Jumamosi wasabato huwa hawatendi dhambi yoyote? Vp ukiajiriwa mtu kama huyo then ikampasa kufanya kazi Jumamosi huoni kama ataleta shida? Wachague moja, kazi au kusali/kuabudu
Shetani sasa kaja tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…