Ni bora kulipa Ada kuliko kufanya utapeliHaya
Subiri tamko la serikali
Endelea kupuuza ubunifu wa walimu kuwapa watoto wako majaribio kila wiki waone hao walimu ndo maadui
Serikali itakuridhisha Kwa kupiga marufuku michango na majaribio, wakijua wazi watoto wao hawasomi hizo shule
kwanza shukuru wewe mitihani unaiona. kun shule zingine hata mitihani yenyewe hairudi. mwisho kabisa kama lawama mtu pekee wa kupewa ni wizara ya elimu tuShule nyingi za Msingi na hata Sekondari zimejitengenezea utaratibu wa kuwafanyisha mitihani wanafunzi hasa walio katika mwaka wa mitihani ya Taifa kama Darasa la Nne, Saba, kidato cha pili na nne. Shule hizi hulazimisha wanafunzi kuchangia mitihani hiyo ambayo huifanya kila Jumamosi. Wanafunzi wasiochangia mitihani hiyo huadhibiwa au kujengewa uadui mkubwa na walimu
Shule ya Msingi Darajani iliyopo Kigamboni ni moja ya shule zenye hii tabia ya wanafunzi kuchangishwa pesa za mitihani. Yaani wao kila wiki ni mitihani, halafu Walimu hawasahihishi mitihani ila inasahihishwa na hao hao wanafunzi wanaofanya mitihani. Walimu wao wanaangalia pesa tu.
Mzazi unalipa pesa ya mitihani lakini cha kushangaza mitihani ikiletwa ukikagua unakuta mtoto kakosa ila kawekewa tiki, ukimuuliza anakuambia wanaosahisha ni wanafunzi wenzetu.
Naombeni na hili mlifikishe mtandaoni na mamlaka husika ili hatua stahiki zichukuliwe.
Pole mwalimu umeongea kwa hisia sana ila nakusihi muache huo upumbavu darasa la nne kika week unamfanyisha mitihani ya nini?Pesa unamchangia mwanao Bado unalia
Kwani ulimzaa na nani?
Kama unaona unaibiwa si mwanao aache shule ubaki na pesa yako
Hakuna elimu Bure, usidanganyike na siasa
Hata hao wanasiasa wanalipia yote hayo na watoto wao wapo private schools
Mnachanga shilingi ngapi?Shule nyingi za Msingi na hata Sekondari zimejitengenezea utaratibu wa kuwafanyisha mitihani wanafunzi hasa walio katika mwaka wa mitihani ya Taifa kama Darasa la Nne, Saba, kidato cha pili na nne. Shule hizi hulazimisha wanafunzi kuchangia mitihani hiyo ambayo huifanya kila Jumamosi. Wanafunzi wasiochangia mitihani hiyo huadhibiwa au kujengewa uadui mkubwa na walimu
Shule ya Msingi Darajani iliyopo Kigamboni ni moja ya shule zenye hii tabia ya wanafunzi kuchangishwa pesa za mitihani. Yaani wao kila wiki ni mitihani, halafu Walimu hawasahihishi mitihani ila inasahihishwa na hao hao wanafunzi wanaofanya mitihani. Walimu wao wanaangalia pesa tu.
Mzazi unalipa pesa ya mitihani lakini cha kushangaza mitihani ikiletwa ukikagua unakuta mtoto kakosa ila kawekewa tiki, ukimuuliza anakuambia wanaosahisha ni wanafunzi wenzetu.
Naombeni na hili mlifikishe mtandaoni na mamlaka husika ili hatua stahiki zichukuliwe.
Elimu bure imejaza watu wasiojielewa. Na waliokosa uelewa wa dunia inavyokwendaElimu bureeee,CCM mitano tena!!!
Utapeli wa Tsh. 200?Ni bora serikali itoe tamko kwamba elimu shule za serikali tulipe ada kuliko kufanya utapeli..
Kulipa kila siku 200 za test na kila jmosi kulipa 1000 za mtihani sio utapeli?
Mtoa post ana hoja nzr asipuuzwe
Kuna mtihani gani wa kila siku?Utapeli wa Tsh. 200?
Tupate wazo zuri kutoka kwako; je, unataka walimu wasiandae mitihani ama waandae ila wanafunzi wasilipe chochote?
Mentality ya kimasikini ndiyo inakusumbua. Pigia hesabu mwanao, acha kupigia hesabu wanafunzi wote.Kuna mtihani gani wa kila siku?
Sh 200×watoto 800 ni sh ngp kwa siku?
Kwa week?
Kwa mwezi?
Walimu punguzeni utapeli
Kwani hawalipwi mishahara?Mentality ya kimasikini ndiyo inakusumbua. Pigia hesabu mwanao, acha kupigia hesabu wanafunzi wote.
Hivi unaujua ugumu wa kusahihisha mitihani mia 8 kila wiki?
Mchango ni shilingi ngapiShule nyingi za Msingi na hata Sekondari zimejitengenezea utaratibu wa kuwafanyisha mitihani wanafunzi hasa walio katika mwaka wa mitihani ya Taifa kama Darasa la Nne, Saba, kidato cha pili na nne. Shule hizi hulazimisha wanafunzi kuchangia mitihani hiyo ambayo huifanya kila Jumamosi. Wanafunzi wasiochangia mitihani hiyo huadhibiwa au kujengewa uadui mkubwa na walimu
Shule ya Msingi Darajani iliyopo Kigamboni ni moja ya shule zenye hii tabia ya wanafunzi kuchangishwa pesa za mitihani. Yaani wao kila wiki ni mitihani, halafu Walimu hawasahihishi mitihani ila inasahihishwa na hao hao wanafunzi wanaofanya mitihani. Walimu wao wanaangalia pesa tu.
Mzazi unalipa pesa ya mitihani lakini cha kushangaza mitihani ikiletwa ukikagua unakuta mtoto kakosa ila kawekewa tiki, ukimuuliza anakuambia wanaosahisha ni wanafunzi wenzetu.
Naombeni na hili mlifikishe mtandaoni na mamlaka husika ili hatua stahiki zichukuliwe.
Ni uchwara siyo uchwala. Inaonesha una elimu ya kuungaunga ndiyo maana hufahamu hata unachokipinga.Kwani hawalipwi mishahara?
Zamani walikuwa wanalazimisha kukopesha ubuyu na kashata kwa lazima kwa watoto wetu.
Baada ya serikali kupiga marufuku biashara ndogo ndogo za walimu mashuleni ,,
Sasa mmeanzisha utapeli wa mtihani kila siku asubuhi na jioni tuition kwa lazima.
Walimu uchwala shame on you
Kuwashitaki kwa diwaniWalimu kama hamuwezi kuishi mjini,hamieni Burundi.Shule za msingi Mizimbini na Kibada zilizo Kibada kigamboni,wana tabia hiyo.Na mkiendelea na tabia yenu,tutawaweka hadharani kwa waziri.
Wewe mwenye elimu kubwa umegunduwa nn?ktk taifa hili?Ni uchwara siyo uchwala. Inaonesha una elimu ya kuungaunga ndiyo maana hufahamu hata unachokipinga.
Usingekuwa na njaa usingeita mtihani wa 200 ni utapeli.Wewe mwenye elimu kubwa umegunduwa nn?ktk taifa hili?
Walimu punguzeni njaa,, wacheni kufanya utapeli mashuleni..