Uulizwe wewe unayekusanya 200 kwa kila mwanafunzi .Usingekuwa na njaa usingeita mtihani wa 200 ni utapeli.
Ndiyo maana nikakuuliza hizo fedha zinatosha kuwa mtaji wa biashara gani?
Wanasaidia watoto wenuUulizwe wewe unayekusanya 200 kwa kila mwanafunzi .
Unafaidika na nn?
Sifaidiki na chochote bali nawasaidia wanafunzi.Uulizwe wewe unayekusanya 200 kwa kila mwanafunzi .
Unafaidika na nn?
Acha kujibu kipumbavu.Pesa unamchangia mwanao Bado unalia
Kwani ulimzaa na nani?
Kama unaona unaibiwa si mwanao aache shule ubaki na pesa yako
Hakuna elimu Bure, usidanganyike na siasa
Hata hao wanasiasa wanalipia yote hayo na watoto wao wapo private schools
Kusaidia kwa kulipa 200 kila siku.?Sifaidiki na chochote bali nawasaidia wanafunzi.
Ningekuwa nataka faida, watoto wa masikini kama wewe wasingemudu gharama.
Hivi kuna mtihani wa kila siku asubuhi?Wanasaidia watoto wenu
Mnawaita matapeli
Uhalisia hauko hivo, serikali haiwezi kuwasaidia kwenye elimu
Washukru walimu Kwa mkakati wa kufaulisha
Elimu ni Pana, Elimu ni gharama.
We unaamka unamtuka mtoto shule, hana vitabu vya ziada, shule haina maktaba, vitabu havitoshi, walimu hawatoshi, madawati hayatoshi, watoto wengi, shuleni watoto hawapati hata uji
Mwalimu anawambia wazazi mchangie 200
Watoto wafanye majaribio, nje ya ratiba ya serikali ambayo haitekelezeki
Unakuja mtandaoni kushtaki na kulalamika mitandaoni
Sasa wakiacha hayo majaribio, unadhani mwalimu atapoteza kazi yake
Watanganyika ni watu wapumbavu sana
Sasa tatizo hawaweki wazi, wanasema Elimu buree, wazazi wanabweteka, baadae wanaanza kudaiwa hela, unadhani inakuaje hapoo?Mtoto wa maskini atabaki kuwa wa maskini tu huwezi kukuta mzazi anaemsomesha mwanae english medium akaja kulalamikia mitihani ya wiki ni sisi kajamba nani ndio tunalalamika.
Kwni msingi wako wa genge ni shilings ngapi?Usingekuwa na njaa usingeita mtihani wa 200 ni utapeli.
Ndiyo maana nikakuuliza hizo fedha zinatosha kuwa mtaji wa biashara gani?
Walimu ni wapigaji tu,shule ya sekondari kawe walimnyima mdogo wangu matokeo ya mtihani eti kisa hajalipia ela ya walimu wakujitolea,upuuzi kabisaShule nyingi za Msingi na hata Sekondari zimejitengenezea utaratibu wa kuwafanyisha mitihani wanafunzi hasa walio katika mwaka wa mitihani ya Taifa kama Darasa la Nne, Saba, kidato cha pili na nne. Shule hizi hulazimisha wanafunzi kuchangia mitihani hiyo ambayo huifanya kila Jumamosi. Wanafunzi wasiochangia mitihani hiyo huadhibiwa au kujengewa uadui mkubwa na walimu
Shule ya Msingi Darajani iliyopo Kigamboni ni moja ya shule zenye hii tabia ya wanafunzi kuchangishwa pesa za mitihani. Yaani wao kila wiki ni mitihani, halafu Walimu hawasahihishi mitihani ila inasahihishwa na hao hao wanafunzi wanaofanya mitihani. Walimu wao wanaangalia pesa tu.
Mzazi unalipa pesa ya mitihani lakini cha kushangaza mitihani ikiletwa ukikagua unakuta mtoto kakosa ila kawekewa tiki, ukimuuliza anakuambia wanaosahisha ni wanafunzi wenzetu.
Naombeni na hili mlifikishe mtandaoni na mamlaka husika ili hatua stahiki zichukuliwe.
Iyo elfu nne anatoa peke yake, unakuta darasa la nne madarasa matatu jumla wapo 200, aya piga hesabu sh. Ngapi jumla inakuwa? Laki nane iyo, na wanacheza mchezo kila wiki anachukua mwalimu mmoja,Ni 4000 kwa mwezi,unakula sh ngapi?
Au umezaa Kijiji?
Wallimu ni matapeliNi bora kulipa Ada kuliko kufanya utapeli
Pigia wanao,siyo watoto wa wenzio mkuu🤣🤣🤣🤣Iyo elfu nne anatoa peke yake, unakuta darasa la nne madarasa matatu jumla wapo 200, aya piga hesabu sh. Ngapi jumla inakuwa? Laki nane iyo, na wanacheza mchezo kila wiki anachukua mwalimu mmoja,
Yaani mishahara mnalipwa halafu mnataka wazazi wawatajirishe wapuuzi nyie
KabisaWallimu ni matapeli
Halafu kuna kigenge cha wahuni chenye maslahi binafsi,Kabisa