KERO Tabia ya Shule kuchangisha pesa za mitihani kila wiki inakithiri, Walimu wameifanya kuwa mtaji

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kumbe ndo maana siku ile nilikuta kapewa tick jibu ambalo siyo sahihi.
Ndo machezo wao kumbe.
Mm nilijisemea moyoni kwamba baadhi ya walimu vihande kumbe uhalisia paper zinatiwa marks na madent wenyewe.
 
Kusaidia kwa kulipa 200 kila siku.?

Shame on you
Hujawahi kutunga, kusimamia wala kusahihisha mtihani ndiyo maana unaona 200 ni fedha kubwa kwako.
Aibu kwenu ninyi msiojua umuhimu wala gharama za elimu.
 
Hakuna elimu rahisi hiyo 500 yako haiwezi kumfanya mwalimu awe bilionea toa mtoto afanye weekly test
Hoja sio kutoa pesa ila hoja ni kwanini wasahihishe wanafunzi badala ya walimu?

Lakini pia huo utaratibu wa wanafunzi kuchanga pesa kwaajili ya mitihani ya kila wiki au mwezi ni Kwa miongozo ipi??
Ukiachilia mbali kuchangishwa pesa je huu utaratibu wa mitihani ya mara Kwa mara Kwa kila wiki au mwezi ni Kwa mujibu wa miongozo ipi ya kitaaluma?
 
We unaonekana ulivo kichwani

Sasa mchango wa mtoto wako unalia Nini?

Hata Tanganyika school pale michango ipo ila hutasikia Ridhiwani analia mtandaoni

Kwaiyo tuache kujadili mambo ya maana tikusikilize wewe unayelilia sh 200 ya mitihani
Kipato chako usilinganishe na wengine kuna baadhi ya wazazi hata ingekuwa mia asinge mudu kutokana na majukumu aliyo nayo
 
Nilichokiona humu, wengi ufikili wa kungamua mambo bado ila nikumponda muanzisha mada, ila kiuhalisia muanzisha muda yupo sahihi, elimu yetu haisadii mwanafunzi tumefocus sana kwenye kualilisha na kufaulisha tu sio uelewa wa mwanafunzi ndio maana waliobahatika kufika elimu ya juu wengi lakini wenye uwezo wa kuitafrisri kile walichosoma ni wachache
 
Mentality ya kimasikini ndiyo inakusumbua. Pigia hesabu mwanao, acha kupigia hesabu wanafunzi wote.

Hivi unaujua ugumu wa kusahihisha mitihani mia 8 kila wiki?
Mitihani wana sahishana wenyewe kwa wenyewe
 
Hujawahi kutunga, kusimamia wala kusahihisha mtihani ndiyo maana unaona 200 ni fedha kubwa kwako.
Aibu kwenu ninyi msiojua umuhimu wala gharama za elimu.
Hakuna cha ajapo hapo wanafunzi wana sahihishiana wenyewe kutwa mko mitandaoni tu,
 
Mtoto wa maskini atabaki kuwa wa maskini tu huwezi kukuta mzazi anaemsomesha mwanae english medium akaja kulalamikia mitihani ya wiki ni sisi kajamba nani ndio tunalalamika.
Ishu hapa sio michango nilichoelewa mimi hapo mdau anadai walimu hawako makini na kazi zao kwanini wanawapa wanafunzi kusaisha mitiani ya wenzao imagine mimi nina ugomvi na wewe then nipate mtihani wako unafikiri utafaulu huo mtiani obviously kwenye tiki nitaweka kosa kama lengo ni kuwapima wanafunzi mwalimu atajuaje uwezo wa mwanafunzi kama anasaidiwa majukumu yake? Nafikiri tujikite hapo kwanza kisha ifate hoja ya hiyo michango
 
Alieipiga marufuku ni nani? hao wapiga marufu si ndio wanasema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake? mbona haujakemea ufisadi wa viongozi ama rushwa kwa polisi... chukua mwanao ukamfundishe mwenyewe ili usitoe hiyo mia 5
 
Mitihani wana sahishana wenyewe kwa wenyewe
Kama wanasahisha wenyewe kwa wenyewe walimu waje watuambie lengo la hiyo mitihani kama ni tofauti na kupima uelewa au uwezo wa wanafunzi waseme ni kwa kiwango gani mwalimu anaweza kuimprove ufundishaji wake kwa kuzingatia mahitaji ya wanafunzi au wanafundisha kwa mazoea
 
Unaongelea weekly test tu? si bora hiyo! huku tuition unalipia daily na ni lazima pamoja na buku ya msosi wa shule, yani kila siku lazima mtoto aende na buku mbili hutaki muhamishe mwanao
 
Mtoto wa maskini atabaki kuwa wa maskini tu huwezi kukuta mzazi anaemsomesha mwanae english medium akaja kulalamikia mitihani ya wiki ni sisi kajamba nani ndio tunalalamika.
Elewa kuwa pesa inayotoka inaendana na uhalisia wa kitu wanachopata wanafunzi na singinevyo.

Au umewahi kusikia English medium wanasaishiwa mitihani na wanafunzi wenzao?
 
Lakini huwa wanachang8sha pesa sio zaidi ya 500 na ni kwa manufaa ya wanafunzi. Wewe huoni kuwa wanafunzi wananufaika na mitihani mkuu? Wewe unafikiria hasara tu?
 
Acheni hiyo tabia,shule ya msingi Mizimbini,iliyo Kibada na shule ya msingi Kibada,wana tabia hiyo....kama hamtaki kutoa mitihani simuache? Kwani mmelazimishwa?
Mwanangu anasoma hapo na ninaufurahia sana huu utaratibu wa mitihani kwa mtoto.
 
Elewa kuwa pesa inayotoka inaendana na uhalisia wa kitu wanachopata wanafunzi na singinevyo.

Au umewahi kusikia English medium wanasaishiwa mitihani na wanafunzi wenzao?
Ha ha ha
 
Kuzaliwa na masikini wa Akili namna hii ni Bonge la Hasara. Hivi umejalibu fikiria kama walimu hao wasingejihangausha kwachochote kwa mwanao wangefukuzwa kazi? Nani angepata Hasara. Upuuzi kabisa ukute huyo mwalimu anapambana na makaratasi mpaka saaa 11 jioni.
 
We huna tofauti na wanaosema bila kipa tungefungwa sasa hao walimu wanapokea mishahara ili iweje kama haiwatoshi si waache kazi kuna watu kichwani hamna ubongo kuna mavi.
 
Kwa Akili hizi Ccm miaka 50 mingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…