Tabia ya wadada kujibinua kwenye bodaboda

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
40,828
Reaction score
99,523
Wakuu, nimepita hapa Pizzeria nikaagiza kitu pale black vinegar mixer gallic. Pizza ilikua ina chizz ya kitosha...😋 sasa wakati wa kulipa naambiwa ni 21,000...😬 Dahhhhh.

Man nilipata moto wa dunia, ila kiroho sayona nikasema barida m'baba nika kunjua noti huyooo nikasepa.

Sasa ile natoka nje pale barabarani nikakutana na mwali amesimama (ukweli hakua na diff la kutisha), mara akasimamisha boda huyooo... akapanda, kilicho nishangaza nikaona amejibinua (yaani kama kabinua kifua kwa mbele halafu yale ya kukalia akawa anayalazimisha yarudi kwa nyuma.😂😂

Ila fresh tu, nikachukulia poa man huyoooo nikaanza kupanda zangu kilima taratiiibu, hapa ndio nimefika gheto kijasho kimenitoka hadi K-Vant yote imekata.

Ngoja nikaoge ninale zangu mie...🙂
 
Wakuu, nimepita hapa Pizzeria nikaagiza kitu pale black vinegar mixer gallic. Pizza ilikua ina chizz ya kitosha...😋 sasa wakati wa kulipa naambiwa ni 21,000...😬 Dahhhhh...
Man nilipata moto wa dunia, ila kiroho sayona nikasema barida m'baba nika kunjua noti huyooo nikasepa.
Sasa ile natoka nje pale barabarani nikakutana na mwali amesimama (ukweki hakua na diff la kutisha), mara akasimamisha boda huyooo... akapanda, kilicho nishangaza nikaona amejibinua (yaani kama kasbinua kifua kwa mbele alafu yale yakukalia akawa anayalazimisha yarudi kwa nyuma....😂😂
Ila fresh tu, nikachukulia poa man huyoooo nikaanza kupanda zangu kilima tartiiibu, hapa ndio nimefika gheto kijasho kimenitoka hadi K-Vant yote imekata.
Ngoja nikaoge ninale zangu mie...🙂
mbona sijaona uhusiano wa ww na pizza
 
Mmmmmmhmn me sijalewa connection ya kichwa cha habari, story ya pizza, bei ya pizza, mdada kujibinua, na wewe kwenda ghetto huku umekunywa kvant.

Kwa kifupi haujaeleweka umepuyanga sana....
Umeona eeh hahahahahahaha
 
Wakuu, nimepita hapa Pizzeria nikaagiza kitu pale black vinegar mixer gallic. Pizza ilikua ina chizz ya kitosha...[emoji39] sasa wakati wa kulipa naambiwa ni 21,000...[emoji51] Dahhhhh...
Man nilipata moto wa dunia, ila kiroho sayona nikasema barida m'baba nika kunjua noti huyooo nikasepa.
Sasa ile natoka nje pale barabarani nikakutana na mwali amesimama (ukweki hakua na diff la kutisha), mara akasimamisha boda huyooo... akapanda, kilicho nishangaza nikaona amejibinua (yaani kama kasbinua kifua kwa mbele alafu yale yakukalia akawa anayalazimisha yarudi kwa nyuma....[emoji23][emoji23]
Ila fresh tu, nikachukulia poa man huyoooo nikaanza kupanda zangu kilima tartiiibu, hapa ndio nimefika gheto kijasho kimenitoka hadi K-Vant yote imekata.
Ngoja nikaoge ninale zangu mie...[emoji846]
Forever ever I will love you jamii forum my first hobby.
 
Wakuu, nimepita hapa Pizzeria nikaagiza kitu pale black vinegar mixer gallic. Pizza ilikua ina chizz ya kitosha...😋 sasa wakati wa kulipa naambiwa ni 21,000...😬 Dahhhhh...
Man nilipata moto wa dunia, ila kiroho sayona nikasema barida m'baba nika kunjua noti huyooo nikasepa.
Sasa ile natoka nje pale barabarani nikakutana na mwali amesimama (ukweki hakua na diff la kutisha), mara akasimamisha boda huyooo... akapanda, kilicho nishangaza nikaona amejibinua (yaani kama kasbinua kifua kwa mbele alafu yale yakukalia akawa anayalazimisha yarudi kwa nyuma....😂😂
Ila fresh tu, nikachukulia poa man huyoooo nikaanza kupanda zangu kilima tartiiibu, hapa ndio nimefika gheto kijasho kimenitoka hadi K-Vant yote imekata.
Ngoja nikaoge ninale zangu mie...🙂
Mkuu...pole
 
Back
Top Bottom