Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
- Thread starter
- #21
Jaribu kula K-Vant kubwa kwa urefu wa kamba yako utayapata majibu...😂😂Mmmmmmhmn me sijalewa connection ya kichwa cha habari, story ya pizza, bei ya pizza, mdada kujibinua, na wewe kwenda ghetto huku umekunywa kvant.
Kwa kifupi haujaeleweka umepuyanga sana....