Wakuu, nimepita hapa Pizzeria nikaagiza kitu pale black vinegar mixer gallic. Pizza ilikua ina chizz ya kitosha...[emoji39] sasa wakati wa kulipa naambiwa ni 21,000...[emoji51] Dahhhhh...
Man nilipata moto wa dunia, ila kiroho sayona nikasema barida m'baba nika kunjua noti huyooo nikasepa.
Sasa ile natoka nje pale barabarani nikakutana na mwali amesimama (ukweki hakua na diff la kutisha), mara akasimamisha boda huyooo... akapanda, kilicho nishangaza nikaona amejibinua (yaani kama kasbinua kifua kwa mbele alafu yale yakukalia akawa anayalazimisha yarudi kwa nyuma....[emoji23][emoji23]
Ila fresh tu, nikachukulia poa man huyoooo nikaanza kupanda zangu kilima tartiiibu, hapa ndio nimefika gheto kijasho kimenitoka hadi K-Vant yote imekata.
Ngoja nikaoge ninale zangu mie...[emoji846]