Tabia ya wadada kujibinua kwenye bodaboda

Tabia ya wadada kujibinua kwenye bodaboda

Mambo yao waachie wenyewe...

Wanafanya hivyo ili vitako vyao vidundikedundike...

Fahari ya macho...
 
Wakuu, nimepita hapa Pizzeria nikaagiza kitu pale black vinegar mixer gallic. Pizza ilikua ina chizz ya kitosha...😋 sasa wakati wa kulipa naambiwa ni 21,000...😬 Dahhhhh.

Man nilipata moto wa dunia, ila kiroho sayona nikasema barida m'baba nika kunjua noti huyooo nikasepa.

Sasa ile natoka nje pale barabarani nikakutana na mwali amesimama (ukweli hakua na diff la kutisha), mara akasimamisha boda huyooo... akapanda, kilicho nishangaza nikaona amejibinua (yaani kama kabinua kifua kwa mbele halafu yale ya kukalia akawa anayalazimisha yarudi kwa nyuma.😂😂

Ila fresh tu, nikachukulia poa man huyoooo nikaanza kupanda zangu kilima taratiiibu, hapa ndio nimefika gheto kijasho kimenitoka hadi K-Vant yote imekata.

Ngoja nikaoge ninale zangu mie...🙂
mkuu ulilewa pizza?🙄
 
Back
Top Bottom