Dah.....Kvant ndiyo ilivyo Bro 🤣🤣🤣🤣Mmmmmmhmn me sijalewa connection ya kichwa cha habari, story ya pizza, bei ya pizza, mdada kujibinua, na wewe kwenda ghetto huku umekunywa kvant.
Kwa kifupi haujaeleweka umepuyanga sana....
Dah....ulifika wapi kwenye zile levels 3 za Kvant mkuu? 🤣🤣🤣🤣Wakuu, nimepita hapa Pizzeria nikaagiza kitu pale black vinegar mixer gallic. Pizza ilikua ina chizz ya kitosha...😋 sasa wakati wa kulipa naambiwa ni 21,000...😬 Dahhhhh...
Man nilipata moto wa dunia, ila kiroho sayona nikasema barida m'baba nika kunjua noti huyooo nikasepa.
Sasa ile natoka nje pale barabarani nikakutana na mwali amesimama (ukweki hakua na diff la kutisha), mara akasimamisha boda huyooo... akapanda, kilicho nishangaza nikaona amejibinua (yaani kama kasbinua kifua kwa mbele alafu yale yakukalia akawa anayalazimisha yarudi kwa nyuma....😂😂
Ila fresh tu, nikachukulia poa man huyoooo nikaanza kupanda zangu kilima tartiiibu, hapa ndio nimefika gheto kijasho kimenitoka hadi K-Vant yote imekata.
Ngoja nikaoge ninale zangu mie...🙂
Usisahau kushusha neti..ili uwe rubani.Wakuu, nimepita hapa Pizzeria nikaagiza kitu pale black vinegar mixer gallic. Pizza ilikua ina chizz ya kitosha...[emoji39] sasa wakati wa kulipa naambiwa ni 21,000...[emoji51] Dahhhhh...
Man nilipata moto wa dunia, ila kiroho sayona nikasema barida m'baba nika kunjua noti huyooo nikasepa.
Sasa ile natoka nje pale barabarani nikakutana na mwali amesimama (ukweki hakua na diff la kutisha), mara akasimamisha boda huyooo... akapanda, kilicho nishangaza nikaona amejibinua (yaani kama kasbinua kifua kwa mbele alafu yale yakukalia akawa anayalazimisha yarudi kwa nyuma....[emoji23][emoji23]
Ila fresh tu, nikachukulia poa man huyoooo nikaanza kupanda zangu kilima tartiiibu, hapa ndio nimefika gheto kijasho kimenitoka hadi K-Vant yote imekata.
Ngoja nikaoge ninale zangu mie...[emoji846]
Stori tano tofauti ya Juma Mchopanga...Mmmmmmhmn me sijalewa connection ya kichwa cha habari, story ya pizza, bei ya pizza, mdada kujibinua, na wewe kwenda ghetto huku umekunywa kvant.
Kwa kifupi haujaeleweka umepuyanga sana....
Three idiots mentioned altogether..
Nadhani kakosekana mwamba monde arabe sijui yuko wapi huyu mdau wa "noma sana"Three idiots mentioned altogether..
[emoji23][emoji23][emoji23]Hata kisu kina kata lakini hakina diwani....