Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Hawa Askari wetu wanafanya kazi kubwa na Ngumu mnoo, Mvua yao, Jua lao .
Watanzania wachache Kwa upuuzi na makusudi yao, huamua kwenda Kumpa Hela Askari , wakati fulan Askari anaipokea akijua ni "Pole ya juani" kama ilivyo kawaida katika kada mbalimbali .
Ajabu unakuta Mtanzania huyo alotoka hiyo Pole , anamrekodi na kunigeuza kua Content na kuweka mitandaoni.
Kwa bahati mbaya sana, Viongozi wa Juu waonapo Hilo, nao hukurupuka kwa mihemko, Hisia na preshaa na kuishia Kutoa matamko makali makali na kumuadhibu Askari huyu ambaye uwepo wake barabaran umeokoa Maisha ya watu wengi, na Kumuachia huyu Mtoa Rushwa .
Soma Pia: Trafiki wawili wakamatwa baada ya kunaswa kwenye video wakipokea Rushwa hadharani
Ikiwa ni Rushwa, nadhan Sheria Iko wazi, Mtoa Rushwa, Mpokeaji wote wachukuliwe hatua.
Madereva wengi ni wapuuzi sana, anakunja Buku mbili, anampa Askari barabaran, kiuhalisia Hii buku mbili huwezi ihesabu kama Rushwa , alafu anamrekodi baadae anaitupia mtandaoni.
Madereva wengi hasa wa daladala, wao ndio waanzishaji wa Hizi elfu mbili, tano , Kwa Askari aliyefunzwa, hawezi kuomba Rushwa ya elfu mbili, tano ,kumi .
Simaanishi kwamba Rushwa haitolewi, Baadhi ya Askari kweli huilazimisha na kujitafuta Rushwa na inapofikia hapa Sheria ichukue Mkondo wake Kwa mtoaji na Mpokeaji.