jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Wapo baadhi ya wanaccm waliokuwa wanajiona ni wanamtandao na wakiamua kuleta taharuki ndani ya chama katika ngazi mbalimbali hasa nyakati za uchaguzi.
Zama hizo zimeshapita kwani CCM ilishaonesha Umma kuwa inaweza kumshughulikia mwanaCCM yoyote iwapo hatozingatia maadili ya Chama.
Wapo baadhi ya nyang'au wachache wanaohisi hizi ni zama zile.
Napenda niwaonye mapema kuwa umbea,figisu na matishio kwa chama havina nafasi kwa sasa.
Wapambane na hali zao...washindane kwa haki sio ulaghai,wasichukue fedha za wagombea...wasijishebedue kutetea wawekezaji wahuni kwani itakula kwao...Tanzania ipo uchumi wa kati.
All i All mwaka huu CCM iaenda kusimamisha waadilifu watupu na wala sio wauza unga,majangili wa meno ya Tembo au wahujumu uchumi.
CCM ni safi na ipo kwa ajili ya wasafi.
Amenitonya Mzee Shomari
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!