Tabia ya wanaCCM mtandao waliokuwa wanakitishia Chama nyakati za uchaguzi imekoma!

Mali ya mtu binafsi huwa inakuwa hivi?
Wote waliojaribu kupanua mdomo na kuhoji unajua kilichowapata.......saaizi mtu mmoja tu ndo anaamua nani agombee wapi.......

Mtaisoma sn namba maendeleo yana vyama lkn udikteta hauna vyama mliupalililia mkidhani wapinzani ndio wataumia sasa mtakipata.........

Kumbukeni sn Dhambi ya Ubaguzi haiwezi kuwaacha salama Kuna mtu hapo keshakunywa damu ya mtu hataacha by Mwl Nyerere
 
Nashangaa huu utumbo wa kuku ulioandika. Yaani Mkuu wa nchi kuwaambia viongozi watimize majukumu yao na kuwaasa waache tamaa ya madaraka imekuwa anachagulia watu pa kugombea!
 
ndio maana david silinde amepitishwa na mtu mmoja kugombea kule momba hakuna ruhusa kwa mwingine kutia nia
 
Nashangaa huu utumbo wa kuku ulioandika. Yaani Mkuu wa nchi kuwaambia viongozi watimize majukumu yao na kuwaasa waache tamaa ya madaraka imekuwa anachagulia watu pa kugombea!
Hata hujielewi ulichoandika sicho nilichosema....
 
CCM wahalifu wamejaa kina serukamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…