Unajua ni kwanini alikuuliza wewe hakuuliza wengine?? Angalia unavyojitengeneza sura yako. Shauri zako.wanaume wa dar wote ni mabebez mkuu au ulikua hujui, ndio maana unasikia uzee mwisho chalinze dar wote ni bebez.
wanaume wanashinda muda wote baba shop wqkitengeneza nywele na kusuguliwa kucha na wamasai unategemea wazungumze nini.
kuna mwingine jana aliniudhi,katoka likizo juzi anafika jana ofisini ananiuliza hivi kweli wema sepetu hana mimba, nilitamani kumtwanga kichwa.
Inaelekea wamekukera sana. Hawakukufikisha kileleni au?Hahaha wanatia Karaha Mkuu .. Yaani ni aibu .
Lengo lake ni wanaume wa Dar waongeze juhudi ili wawe wanamfikisha kileleniLengo lako hasa nini labda?
Ewaaaaaaa......!Inaonekana unafanana NA swali uliloulizwa..inakuaje mtu akuulize swali LA kishost kama sio shost yake.....
Ongea Vyovyote ila Kama nawe ni mmoja wapo ..Acha hio Tabia ... waachieni wake Zenu ... Narudia tena Mnatia Karahaaa..Inaelekea wamekukera sana. Hawakukufikisha kileleni au?
Angalia sana hii kauli ya "kukutia karaha". Mwanaume mwenzio anakutiaje karaha?
Kuwarekebisha Tabia , hiyo tabia inakithiri na watu wabaona ni tabia ya kawaida .... Unapanda daladala Watu wanabishana kabisa tena mmoja yupo mbele kabisa mwengine Nyuma ..... Utasikia ... Hapana hana mimba yule , Sijui Wolper ndio anayoo ... Jokate kashatembea sijui na naniii ....whta is ths sasa ... Halafu wanawake wametuliaaa ..Midume ndio inabishac..mpaka mtu mishipa Ya Shingo inatoka , povu limejaa pande zote za mdomo . .. STOP THAT.Lengo lako hasa nini labda?
Vijana wa Arusha mnachekesha...Toka nifike Dar-es-salaam kutika Arusha ,kitu kilichonishangaza na kuona kiinyaa ni Tabia ya Wanaume Wa Dar-es-salaam kukaa Chini Na kuanza kudiscus mara sijui Wema kafanya Hivi ,Mara Jokate kafanya Lile ... yaani inakera inakera ..na unayakuta kabisa na Midevu yao na inabishana mpaka yanatokwa na Mapovu Mdomoni ..Shame on you .. stop that .
Punguza maneno ya "taarab" mtoto wa kiume. Maana nashindwa kuona tofauti yako na hao unaowasema.Ongea Vyovyote ila Kama nawe ni mmoja wapo ..Acha hio Tabia ... waachieni wake Zenu ... Narudia tena Mnatia Karahaaa..
Hhahahahah eti vijana wa Arusha? Umejuaje huyu chalii ni mwanaapolo?Vijana wa Arusha mnachekesha...
Msome hapo ndio kafika kutoka Arusha....mada nyingi za aina hii zinaletwa na vijana wa Arusha.Hhahahahah eti vijana wa Arusha? Umejuaje huyu chalii ni mwanaapolo?
Toka nifike Dar-es-salaam kutika Arusha ,kitu kilichonishangaza na kuona kiinyaa ni Tabia ya Wanaume Wa Dar-es-salaam kukaa Chini Na kuanza kudiscus mara sijui Wema kafanya Hivi ,Mara Jokate kafanya Lile ... yaani inakera inakera ..na unayakuta kabisa na Midevu yao na inabishana mpaka yanatokwa na Mapovu Mdomoni ..Shame on you .. stop that .
Orayt... nimekusoma. Ila huyu kaathirika na viroba na miraa.Msome hapo ndio kafika kutoka Arusha....mada nyingi za aina hii zinaletwa na vijana wa Arusha.
Kabisa....yuko under influence.Orayt... nimekusoma. Ila huyu kaathirika na viroba na miraa.
Yani hawa wa kuja utawajua tu kwa kutafuta kick, na wameshajua kutoka ni lazima utoke na dongo hata la uongo.Wakuja katika ubora wake
Hahahaaaa!! We mfilipino ndio umeamua kututukania waume zetu?Wanaume wa Dar na Wanaume wa Rombo wana matatizo sana!