Tabia ya Wanawake kujirahisisha kwa wazee inakera

Tabia ya Wanawake kujirahisisha kwa wazee inakera

Mzee inaonekana unapenda sana utalii wa ndani yamekukuta tembea nayo tu kama wale maprof wa chuo
 
Munandeleaje?

Mimini mzee, hawa mabinti hawana nidhamu wala adabu.

Ni hawa mabinti wa miaka ya 2000

Binti wa Miaka 25 anapata wapi ujasiri wa kumtongoza mtu wa umri wa baba yake?

Kwaiyo wazee tusiende klabu?

Huu ni usumbufu.
Wazee ndo wenye maokoto! Wee vipi mzee mwenzangu? Au mashine imenoki? Nisukumizie mimi!
 
Back
Top Bottom