Tabia ya Wanawake kutukana matusi machafu tuwapo faragha

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Hili jambo Huwa linanishangaza
Sijui Huwa ni pepo au vipi

Nina mchepuko wangu anafanya kazi Moja ya benk kubwa hapo Dar na mtu wa heshima haswa

Kitu nikiwa nae faragha ananipa matusi ya hatari hadi nashangaa, sijui huwa anapandwa na pepo Gani

Mfano mnaweza kuwa faragha akatamka matusi ya hatari na alivyo ukimtazama na anayotamka faragha haviendani sijui tatizo nini

Si ruhusa kutoa mifano ya matusi hapa JF kutokana na kanuni zao ila ningeandika mengi

Tatizo Huwa ni nini hasa?
 
Kitu nikiwa naw faragha ananipa matusi ya hatari hadi nashangaa, sijui Huwa anapandwa na pepo Gani

Mfano mnaweza kuwa faragha
Akatamka matusi ya hatari na alivyo ukimtazama na anayotamka faragha haviendani sijui tatizo nini

Si ruhusa kutoa mifano ya matusi hapa jf kutokana na kanuni zao ila ningeandika mengi

Tatizo Huwa ni nini hasa?
Ingekuwa mke ningekupa jibu ila kwakua ni mchepuko pambana mwenyewe.
 
FB_IMG_1702650541389.jpg
 
Hili jambo Huwa linanishangaza
Sijui Huwa ni pepo au vipi

Nina mchepuko wangu anafanya kazi Moja ya benk kubwa hapo Dar na mtu wa heshima haswa

Kitu nikiwa nae faragha ananipa matusi ya hatari hadi nashangaa, sijui huwa anapandwa na pepo Gani

Mfano mnaweza kuwa faragha akatamka matusi ya hatari na alivyo ukimtazama na anayotamka faragha haviendani sijui tatizo nini

Si ruhusa kutoa mifano ya matusi hapa JF kutokana na kanuni zao ila ningeandika mengi

Tatizo Huwa ni nini hasa?
Kuna mmoja nilimgegeda wiki mbili zilizopita alooo hayo matusi yake nilishangaaa...sikudhani anaweza tukana namna vile. Ila inaleta stimu kweli
 
Hili jambo Huwa linanishangaza
Sijui Huwa ni pepo au vipi

Nina mchepuko wangu anafanya kazi Moja ya benk kubwa hapo Dar na mtu wa heshima haswa

Kitu nikiwa nae faragha ananipa matusi ya hatari hadi nashangaa, sijui huwa anapandwa na pepo Gani

Mfano mnaweza kuwa faragha akatamka matusi ya hatari na alivyo ukimtazama na anayotamka faragha haviendani sijui tatizo nini

Si ruhusa kutoa mifano ya matusi hapa JF kutokana na kanuni zao ila ningeandika mengi

Tatizo Huwa ni nini hasa?
Kuchachawiza tendo,
 
Back
Top Bottom