Tabia ya Wanawake kutukana matusi machafu tuwapo faragha

Tabia ya Wanawake kutukana matusi machafu tuwapo faragha

Kutukana matusi ni jinai, mwambie atashtakiwa na Jamhuri huyo mpenzi wako 😜

Ila naona mambo yanabadirika sana, sisi Mwaka 47 Bibi zenu walikuwa wanapiga vigelele badala ya kutukana, ukisikia hivyo vigelele baada ya mechi na ile furaha anayokuwa nayo

Basi ataenda kukamata Jogoo Mkubwa, na kukuandalia supu ili kurudisha nguvu
 
Tena mbaya zaidi watukana Kwa kiingereza
Mwanamke anatamka
Fu.k😆
 
Hahaha.......ila inaonesha mnapenda hayo matusi, nimemsikia ndugu mjumbe Bwana mzabzab anasema akikutana na hao wenye matusi

Hata kama alikuwa na mpango wa kuhonga 20,000 basi hujitutumua hadi kumwonga elfu 30 cash 😜
Kabisa mie nape da hao wakutukana wakati wa mgegedo...full mzuka.
Kama huyu wa majuzi lazima game irudiwe pamoja najua ilikuwa usa ii maana toka lini kibamia kikamkuna mwanamke akaridhika🤣🤣🤣🤣
 
Kabisa mie nape da hao wakutukana wakati wa mgegedo...full mzuka.
Kama huyu wa majuzi lazima game irudiwe pamoja najua ilikuwa usa ii maana toka lini kibamia kikamkuna mwanamke akaridhika🤣🤣🤣🤣
Hahaha.............ndiyo ujitahidi umwoe huyo huyo kama anafaa

Maana kuna Mjukuu wangu mmoja, alisema ulitangaza kumwoa huu ni Mwaka wa 2 sasa haoni dalili 😜
 
Ngoja amalize masomo, mwakani ndiyo anakamilisha Masomo yake ya Masters, hivyo atakuwa tayari Ndoa😜
Wanawake wa masters na mie d t mix.
Mie nilikuwa back bencher sasa mke msomi nitamweza handle vipi? Kwanza tutaongea nini tuelewane? Mie story zangu ni migegedo na mambo ya simba na yanga. Wacha akaolewe na wenye masters wenzake wataenjoy
 
Back
Top Bottom