Mzeya uwezo hapa duniani tunazidiana. Mambo ya kuparamia mambo makubwa mie sitaki.Hahaha................wacha inferiority, chukua chuma kile ukiweke ndani 😜
Wenye degree waoa e wenyewe kwa wenyewe sio backbenchers tutaona wenyewe kwa wenyewe.
Turahisishe maisha mkuu stick to ur own level