Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
na mke wako huwa anatukana? maana umesema huyo mchepuko kama anatukana basi tuwaulize wanawake lakini kama hatukani muulize mchepuko sababu ni nniHili jambo Huwa linanishangaza
Sijui Huwa ni pepo au vipi
Nina mchepuko wangu anafanya kazi Moja ya benk kubwa hapo Dar na mtu wa heshima haswa
Kitu nikiwa nae faragha ananipa matusi ya hatari hadi nashangaa, sijui huwa anapandwa na pepo Gani
Mfano mnaweza kuwa faragha akatamka matusi ya hatari na alivyo ukimtazama na anayotamka faragha haviendani sijui tatizo nini
Si ruhusa kutoa mifano ya matusi hapa JF kutokana na kanuni zao ila ningeandika mengi
Tatizo Huwa ni nini hasa?