Tabia ya Wanawake kutukana matusi machafu tuwapo faragha

Tabia ya Wanawake kutukana matusi machafu tuwapo faragha

Mambo ya vijana haya.....ngoja tuwaachie vijana....
1002319422.jpg
 
Hili jambo Huwa linanishangaza
Sijui Huwa ni pepo au vipi

Nina mchepuko wangu anafanya kazi Moja ya benk kubwa hapo Dar na mtu wa heshima haswa

Kitu nikiwa nae faragha ananipa matusi ya hatari hadi nashangaa, sijui huwa anapandwa na pepo Gani

Mfano mnaweza kuwa faragha akatamka matusi ya hatari na alivyo ukimtazama na anayotamka faragha haviendani sijui tatizo nini

Si ruhusa kutoa mifano ya matusi hapa JF kutokana na kanuni zao ila ningeandika mengi

Tatizo Huwa ni nini hasa?
Punguza utoto, mpo faragha halafu bado unaleta usiri? Yaani tayari mpo uchi wewe unataka kutumia public language.
Chumbani kuna lugha na maneno yake mazuri hutumika kule. Ni kukosa staha, ni uendawazimu na pia ni matusi kutumia hadharani maneno na lugha ya chumbani.
Ni uchizi, utoto na uhayawani kujifanya mna staha, au kutumia public words muwapo chumbani
 
Back
Top Bottom