Tabia ya wapenzi kuvujisha faragha baada ya kuachana ni akili au upumbavu?

Tabia ya wapenzi kuvujisha faragha baada ya kuachana ni akili au upumbavu?

Anana_

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2024
Posts
210
Reaction score
633
Salaam JF tuwe makini hili linaweza kumkuta yoyote.

Kumekua na tabia ya baadhi wapenzi baada ya kuachana huvujisha faragha zao kama voice, picha au video walizoshiriki wakati wa mahaba motomoto na kuzua taharuki.

Uenda usababishwa na mihemko, hasira au kukomoana.

Nini kifanyie kukemea hii tabia kwa watu wa aina hii?
 
HAYO mambo yanawatokea watu wajinga ambao they have nothing to lose in this life .

Sifikirii kama MTU mwenye akili na anayetazama ustawi wake na wa familia na maisha yake akawa mpumbavu.

Mbona hatuoni video za watu wenye akili zikivuja kama diamond ila zinavuja video za watu wajinga wajinga tu useless guyz
 
Sehemu yoyote yenye mafanikio apa dunian lazima kuna mambo ya faraga au usiri ndani yake na mara nyingi siri na faragha ndio mtaji au mfumo wakuendesha jambo flani na mkumbuke kua kwenye faragha na siri ndio sehemu ambapo ubora na uzaifu hufichwa sasa apa duniani watu hulinda kwa nguvu kubwa sana na kwa garama kubwa izo faragha na siri (hata kwenye mapenzi mtu akijua faragha na siri zako za ndani ujue tayar wewe umekwisha )
 
HAYO mambo yanawatokea watu wajinga ambao they have nothing to lose in this life .

Sifikirii kama MTU mwenye akili na anayetazama ustawi wake na wa familia na maisha yake akawa mpumbavu.

Mbona hatuoni video za watu wenye akili zikivuja kama diamond ila zinavuja video za watu wajinga wajinga tu useless guyz
Hatujui uwenda zinavuja ila wanalipa waliozishikiria, maana kuna wengine wanaomba ela ili wasivujishe
 
Back
Top Bottom