DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Why unaanzisha mada za kijinga , kijingaHapana Ni me bro
Why unaanzisha mada za kijinga , kijingaHapana Ni me bro
Sahihi aaah sahihiSasa tumetofautiana kupembua jambo na uwezo wa kuchukulia… mada ya kijinga kwako kwangu ina maana mkuu…
😂😂😂 madhaif yanaweza kuepo pande zote mbili. Hata kwa mwanaume ni fedhea kama atajadiliwa kwa kukosolewa maumbieTupu ya mwanamke kuonekana hadharani/na watu wengi ni fedheha sana, kulingana na maumbile yenu ! Sasa mtu/me anaona atakukomoa yaaan akiweka kiharage hewan/online kila mtu akione......
Lkn mdushelele ukionekana hadharani hauna noma yan, tena mtu ana vimba kabisa !!!
It is foolishness that iam thinking about and I honestly don't even if these are people who truly understood themselvesSalaam JF tuwe makini hili linaweza kumkuta yoyote.
Kumekua na tabia ya baadhi wapenzi baada ya kuachana huvujisha faragha zao kama voice, picha au video walizoshiriki wakati wa mahaba motomoto na kuzua taharuki.
Uenda usababishwa na mihemko, hasira au kukomoana.
Nini kifanyie kukemea hii tabia kwa watu wa aina hii?
Mwanamke ndo hatari..... ile kitu iko na sura personal......... sema ndio hivo tamu ! Tuishi humo😂😂😂 madhaif yanaweza kuepo pande zote mbili. Hata kwa mwanaume ni fedhea kama atajadiliwa kwa kukosolewa maumbie
Hizo hata akivujisha ataonekana mjinga yeyeVipi calls na text, anaweza vujisha sauti mkiwa na mahaba mazito.. utazuiaje hii ikiwa msingi wa mahusiano ni mawasiliano 😀
Indeed that's what the relationships are. But if you find someone behaving like that ,they are foolish and the law should not be lenient with such a person .Honestly, it’s foolishness. Privacy is privacy, even after a breakup
Oooh cadaver!!! 😃😃😃Indeed that's what the relationships are. But if you find someone behaving like that ,they are foolish and the law should not be lenient with such a person .
How about your issue of candava ,dear ?
Unashindwa vipi kumtambua mtu mwenye akili timamu?Na kibaya hv vitu vinafanywa na yule uliemwamini sana na kujiachia 😂😂😂