Hatujui uwenda zinavuja ila wanalipa waliozishikiria, maana kuna wengine wanaomba ela ili wasivujisheHAYO mambo yanawatokea watu wajinga ambao they have nothing to lose in this life .
Sifikirii kama MTU mwenye akili na anayetazama ustawi wake na wa familia na maisha yake akawa mpumbavu.
Mbona hatuoni video za watu wenye akili zikivuja kama diamond ila zinavuja video za watu wajinga wajinga tu useless guyz
Vipi calls na text, anaweza vujisha sauti mkiwa na mahaba mazito.. utazuiaje hii ikiwa msingi wa mahusiano ni mawasiliano 😀Jilinde wewe kwanza,usiruhusu kujipiga/kupigwa picha za hovyo,kuchukuliwa video za hovyo!! Zikivuja tutakuona wewe ndo wa hovyo!
HAYO mambo mnafanya nyie Masikini ambao hamna akili na kutazama kesho yenuHatujui uwenda zinavuja ila wanalipa waliozishikiria, maana kuna wengine wanaomba ela ili wasivujishe
Sauti unaikana mapema sana kabla jogoo hajawika🤣🤣🤣🤣🤣Vipi calls na text, anaweza vujisha sauti mkiwa na mahaba mazito.. utazuiaje hii ikiwa msingi wa mahusiano ni mawasiliano 😀
unazikana kwa kusema ni AI. na kuwasihi watu wasizue taharuki.Sauti unaikana mapema sana kabla jogoo hajawika🤣🤣🤣🤣🤣
Shida Ipo kwenye picha na videos unazikanaje??
We ni KE?Wakina nani tena 😀😀, nimeuliza tuu maana zangu azijavuja