Tabia ya wapenzi kuvujisha faragha baada ya kuachana ni akili au upumbavu?

Tupu ya mwanamke kuonekana hadharani/na watu wengi ni fedheha sana, kulingana na maumbile yenu ! Sasa mtu/me anaona atakukomoa yaaan akiweka kiharage hewan/online kila mtu akione......

Lkn mdushelele ukionekana hadharani hauna noma yan, tena mtu ana vimba kabisa !!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ madhaif yanaweza kuepo pande zote mbili. Hata kwa mwanaume ni fedhea kama atajadiliwa kwa kukosolewa maumbie
 
It is foolishness that iam thinking about and I honestly don't even if these are people who truly understood themselves
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ madhaif yanaweza kuepo pande zote mbili. Hata kwa mwanaume ni fedhea kama atajadiliwa kwa kukosolewa maumbie
Mwanamke ndo hatari..... ile kitu iko na sura personal......... sema ndio hivo tamu ! Tuishi humo
 
Acheni kuwa kwenye mahusiano na magoigoi , kuna red flag tu zinaweza kukupa mwangaza kuwa upo na goigoi
 
Acheni kuwa kwenye mahusiano na magoigoi , kuna red flag tu zinaweza kukupa mwangaza kuwa upo na goigoi
Na kibaya hv vitu vinafanywa na yule uliemwamini sana na kujiachia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Indeed that's what the relationships are. But if you find someone behaving like that ,they are foolish and the law should not be lenient with such a person .

How about your issue of candava ,dear ?
Oooh cadaver!!! πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
I’m still working on it, I’ll update you once everything is sortedπŸ‘πŸ½
 
Na kibaya hv vitu vinafanywa na yule uliemwamini sana na kujiachia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unashindwa vipi kumtambua mtu mwenye akili timamu?

Wewe ni mdada wa miaka 20 mpka 25 kuwa na mtu mature kiakili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…