Tabia ya wapenzi kuvujisha faragha baada ya kuachana ni akili au upumbavu?

Oooh cadaver!!! ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Iโ€™m still working on it, Iโ€™ll update you once everything is sorted๐Ÿ‘๐Ÿฝ
Please don't forget to inform me ,I would really love for you to be used ,especially in training sessions ,but atleast I would also benefit by referring you to the right place so that I know I made a positive contribution and I gained something as well ,my dear ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ
 
Relax! Worry out๐Ÿ‘๐Ÿฝ
 
Hata kama ni mpenzi wako,hakikisha mkiwa faragha, hampigi picha,wala kuchukuana video au voice rekodi ya aina yeyote.
 
Ukishamuanika mtu, unapata nini baada ya hapo really?
Watu watasema kidogo, watajudge, then watachoka na kusahau wewe utabaki na nini at the end of the day?
Kudate mtu mwenye trauma ni kama kujitoa mhanga honestly
Anaweza kufanya chochote ili kuhakikisha wengine wanaumia kama yeye alivowahi kuumia just to feel better
Ukweli ni kwamba watu wengi makatili na wenye roho mbaya wana history ya kuumizwa sana deep inside
 
Asiyependa connection humu duniani na anyooshe kidole, bila shaka hakuna ๐Ÿ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ