Tabia ya wasanii wa kiume kuvaa nguo za kike na kutoboa masikio ni ujinga!

Ni kweli. Hata sauti zao wanapoimba ni sauti za kike
 
Mm nadhan wanachotaka ni kama hiki alichokifanya mtoa taarifa, yani wanataka kuzungumziwa
 

Punga lingine hili huyu dogo aliwahi kuwa kwenye bss yaani bongo 🌟 search
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…