Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
huwa nashindwa kuelewa, hivi ni kwamba serikali huwa haiwaoni hawa watu au? hawajui kama wanaharibu utamaduni wetu?
Unawezaje kukemea ushoga ila ukaacha viashiria vya ushoga kama hivi? na, utakuta wanawake ndio wanawasifia sana ati wanajua kuchekesha, wanajua kujibadilisha na kuvaa uhusika, hivi hakuna wanawake waigizaji wanaoweza kuigiza kama wanawake na wanaume kuigiza kama wanaume?
Hivi mnanielewa?