Tabia ya wasanii wa kiume kuvaa nguo za kike na kutoboa masikio ni ujinga!

Tabia ya wasanii wa kiume kuvaa nguo za kike na kutoboa masikio ni ujinga!

Ongea yote ila issue ya kutoboa masikio na pua tuache Tu mkuu
Wewe ni mmasai?

Au ulitoboa pua kwasababu ulikuwa inspired na Tupac au Chidi Benz?

Au umetoboa kama swagga kwasababu wewe ni cheki bob unaenda na fashion?
 
Inasikitisha sana kumuona mtoto wa kiume kavaa nguo ya kike. Hii imekaaje kwa wasanii wetu wa kiume?

View attachment 2797949

Adam pekee ndie mwanaume ambaye hakuwa na vinasaba vya kike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye kipengele cha kutoboa pua ndo sijawahi kukielewa, nikiona ke tu katoboa pua nachafukwa sasa ndo dume eti limejitoboa sababu ni star, star ya nyokweee
 
Kwenye kipengele cha kutoboa pua ndo sijawahi kukielewa, nikiona ke tu katoboa pua nachafukwa sasa ndo dume eti limejitoboa sababu ni star, star ya nyokweee
Wasanii wa wasafi wote wametoboa pua inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom