Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Imekutachii!! [emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ndio utafute pesa. Uache wanaotoa ushauri watoe.
Unawashangaa au, vijana wengi kunako bongo fleva ni washikishwaji ukuta hilo karibia kila mtu anajuwa.Inasikitisha sana kumuona mtoto wa kiume kavaa nguo ya kike. Hii imekaaje kwa wasanii wetu wa kiume?
View attachment 2797949
Hapana, Serikali inaona hili ila wao wanataka watanzania waendelee kuwa wajinga na kupenda bongo fleva na bongo movie huku viongozi wakifanya yao kama vile kujilimbikizia rasilimali za nchi huku sie tukiendelea kuwa wajinga tu. Oneni wenzetu wa Kenya walivyo amka.huwa nashindwa kuelewa, hivi ni kwamba serikali huwa haiwaoni hawa watu au? hawajui kama wanaharibu utamaduni wetu?
Unawezaje kukemea ushoga ila ukaacha viashiria vya ushoga kama hivi? na, utakuta wanawake ndio wanawasifia sana ati wanajua kuchekesha, wanajua kujibadilisha na kuvaa uhusika, hivi hakuna wanawake waigizaji wanaoweza kuigiza kama wanawake na wanaume kuigiza kama wanaume?
Hivi mnanielewa?