Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viwanda vitajengwa na pvt sector,Kwanini awe bodaboda? Tuanzie hapo, kwanini hafanyi kazi kiwandani alipwe milioni kuanzia, 15M mpaka 26M kwa, mwaka?
Hao, watoto sio, shida,
Chanzo ni ccm, badala, ya, kujenga, viwanda wananunua v8, moja ni milioni 400!
Ni kweli usemayo, lkn population hohehahe (isiyokuwa na uwezo wa kuuza/kununua na kulipa kodi) haina impact kwenye uchumiMoja ya factor ya driver ya uchumi ni population,na Tanzania tuna rasilimali zinazoendana na population hata ikiongezeka mara 3.
Siku nikiwa rais, nikute mtu yuko na watoto 3 halafu hana mbele Wala nyuma nitampeleka jela .Mtoa mada bado hujaona, njoo huku Sumbawanga uone kilimo Cha watoto.
Wanazidi usukumani?Mtoa mada bado hujaona, njoo huku Sumbawanga uone kilimo Cha watoto.
Uko sahihi kabisa, kuna jirani yangu hapo ni bodaboda, anaishi kwenye ibada cha mlinzi wa siye na ana watoto wengi sana mpaka nashindwa kujua humo ndani walala kivipi kwani wengine wamekuwa wakubwa. Maskini na wajinga wengi wa nchi hizi faraja yao ni katika ngono zembe na ndio maana huko uswazi utakuta vitoto vimejazana kwenye mabanda
Duh! Umepanic.
Achana nao..fanya yako
UMESHAFIKA ULAYA UKAONA WENZAKO WANAVO ZAA
View attachment 3017164
Wacha watu wazae vije vizazi vipya vya kuikomboa Tanzania Kama China na Nigeria. Sio kizazi hichi cha Simba na yanga pumbavu zako mwana Ccm wewe.
Enzi hizo walikuwa Kama hapa kwetu na baadhi walikuwa wameshadogea katika mawazo yako. Ama huelewi sie tuko nyuma mno kwao.pia Kama hizo ardhi zipo bado,huko katavi Kuna mapori hayajawahi limwa since creation na huko congo msituni Kuna miti haijawahi kukatwa tokea kuumbwa . Ni wewe tu huko kwao Kila mahala Kuna zege
Tena watu wa hivi Tanzania wapo wengi waliosoma na ambao hawajasoma,hawaelewi ni kwa namna gani kutofatilia mambo basic katika nchi yanavyogharimu nchi.tuna population kubwa iliyojaa wajinga.Waswahili ukiwakuta kwenye mada za kuwakosoa na kuwalaumu viongozi wao utasema ni watu walio siriasi sana! Wakute kwenye mada kama hizi zinazowawajibisha na wao ndipo utathibitisha kuwa wao na viongozi wao ni chupa na mfuniko tu (in case ulikuwa hujathibitisha).
Comments za humu zinamtambulisha mtanzania halisi. Imagine wengi wanamhoji mtoa mada kama watu hao wanaozaa sana wanamwomba chakula! Kweli?!
Katika mada zinahitaji utulivu wa akili na kuweka mihemko pembeni basi mojawapo ni hii, ila sasa yaliyomo...
Tuna safari ndefu sana.
Population kubwa isiyo na faida ina hasara nyingi. Kuna hasara za moja kwa moja (direct) na hasara zisizo za moja kwa moja (indirect).
Mfano wa hasara zisizo za moja kwa moja ni kuendeleza utawala wa 'hovyo'. Unadhani mtu aliye busy na stress za malezi ya watoto wengi kama shule atapata lini muda wa kufuatilia na kujua kama utawala unafaa au haufai? Ni kama waalimu tu, wapo busy na watoto muda wote hawajui kama ccm inatuhenyesha ukifika uchaguzi ni kutia tick tu kwenye karatasi za kura mle ndani kama vile wanasahihisha mitihani ya watoto, na maisha yanatupiga wote wala hawajali. NATANIA walimu.
Siyo kweli mkuu, tuache kufarijiana. Raia bora huanza kuandaliwa tangu kutungwa mimba yake. Lishe bora, malazi mazuri na elimu bora ndiyo hujenga raia mpambanaji na mwenye kipato kizuri.Umaskini na kuwa na familia kubwa Haina huusiano! Serikali iweke sera nzuri za uchumi na wananchi wawajibike kufanya Kaz Kwa bidii.. Bodaboda uliyemtolea mfano kwamba anaextended family pengine kuzidi wewe mtumishi.Lakini wewe mwenye mtoto mmoja unakuta life limekupiga..
Angalia hata nchi zenye uchumi mkubwa halafu check na population zao..kifupi kuzaa ni source ya utajiri kama we mzaaji utakuwa serious na life