msapinungu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 839
- 692
Hapo jiandae kuombwa hela!!Kwanini watu wengi wanapenda kuita mtu tajiri tajiri .
Unakuta hata hawakujui . Kumbe huna hata kitu
Hili swala liko common kwa wanaume.
Kwanini mnapenda kuita hivo wakuu.?
Sio kila mtu anapenda kusifiwa
Huna baya tajiri....kila mtu tajiri sio lazima uwe tajiri wa pesa
Unaitwa tajiri huna hata laki kwa accountMisemo ya mjini iyo tajiri uwa inakuja na kupita.
Huna baya tajiri....kila mtu tajiri sio lazima uwe tajiri wa pesa
Nilipata ngoja nibadili mkuuMaeneo yanaumba.
Mfano miss natafuta- kuna uwezakano mpaka Leo unatafuta Mme ,hela etc
Tajiri hawezi ku relax, masikini ndio tuna relax, unajua Mo anaamka na kulala saa ngapi?Tajiri wakati nasulubika na life?
Tajiri anarelax
Unaweza kuwa tajiri hata wa msambwanda,busha...mdomo mpana...kila mtu tajiri sio lazima uwe tajiri wa pesa
Tajiri hawezi ku relax, masikini ndio tuna relax, unajua Mo anaamka na kulala saa ngapi?Tajiri wakati nasulubika na life?
Tajiri anarelax
Yaani nilitaka niku mention uache hio tabia....Ahh tajiri
Ova
Ukiona hivyo ujue kuna mazingira unatengenezewa ya kupigwa mizinga tu πTajiri wakati nasulubika na life?
Tajiri anarelax
Mume au hela?Nilipata ngoja nibadili mkuu
Ungeitwa Baharesa au Dangote ungeleta Uzi wa malalamiko hapa?Kwanini watu wengi wanapenda kuita mtu tajiri tajiri .
Unakuta hata hawakujui . Kumbe huna hata kitu
Hili swala liko common kwa wanaume.
Kwanini mnapenda kuita hivo wakuu.?
Sio kila mtu anapenda kusifiwa
π we tajiri aka boss bana Acha kujishushaYaani nilitaka niku mention uache hio tabia....
Mkuu niache tafadhali hii mada inawahusu watu kama nyinyiπ we tajiri aka boss bana Acha kujishusha
Ova
π πMkuu niache tafadhali hii mada inawahusu watu kama nyinyi