Kwamba tajiri vipi niaomba unidaidie ki boost gari yangu na huna gari aisee ninavyojijua mimi pangekekuwa ugomvi๐Nimewahi kuombwa gari na mtu hapo Coco beach nikamsaidie kuibusti gari yake iliyoshindwa kuwaka, miaka ambayo hata sikuwa namiliki gari ๐
Baada ya miaka 2 nikaja kununua gari yangu ya kwanza kwenye maisha yangu ๐ช
Maneno huumba hasa ukimnenea mtu vizuri ama vibaya๐ค
Tajiri nifanyie mpango wa hela ya Supu hapo Samaki Samaki ๐
Unaweza kuwa tajiri hata wa msambwanda,busha...mdomo mpana...kila mtu tajiri sio lazima uwe tajiri wa pesa
Kwa nini na wewe unatuita sisi wakuu kwani sisi tunakuongoza kwenye nini?Kwanini watu wengi wanapenda kuita mtu tajiri tajiri .
Unakuta hata hawakujui . Kumbe huna hata kitu
Hili swala liko common kwa wanaume.
Kwanini mnapenda kuita hivo wakuu.?
Sio kila mtu anapenda kusifiwa
Ni tukio la muda mrefu lakini hadi leo hii huwa nalitafakariKwamba tajiri vipi niaomba unidaidie ki boost gari yangu na huna gari aisee ninavyojijua mimi pangekekuwa ugomvi๐
Oyaah sio pw anyway ali ku motivate kuwa na gariNi tukio la muda mrefu lakini hadi leo hii huwa nalitafakari
Alikuja jamaa ambaye Kwa wakati huo alinizidi umri kama miaka 12 ama zaidi
Akanisalimia kisha akawasilisha ombi lake
Miaka hiyo hata huu mtindo wa kuning'iniza funguo kwenye suruali hata hakuna.
Enzi hizo hata dalili ya kuwa ningekuja kupata pata mwili kidogo hata Sina
Nikawa najiuliza jamaa ameniona wapi nina gari
Aliniomba sana akisisitiza ameona nina gari nimepaki maeneo ya karibu pale, anaomba hata betri akaboost gari yake
Yule jamaa aliondoka akinilaumu sana, haamini kama sikuwa na gari
Mwenzake nilifika Coco-beach Kwa kupanda daladala sijui hiyo gari aliona wapi naendesha ama nashuka
Maana enzi hizo hata hizi Uber/bolt hata hakuna zaidi ya uwepo wa Tax pekee ๐
Somehow yesOyaah sio pw anyway ali ku motivate kuwa na gari
Yah maneno uumba mkuu ni nene na mimi nipate Gari hahahSomehow yes
Wanasema hata watoto wako nyumbani ukiwa unawanenea mabaya mabaya basi hujikuta wanakuwa hivyo
Ndiyo maana waswahili walipata kusema "Maneno huumba"
Upo sahihi nimefanya biashara takribani miaka saba Sasa Yan huwa nishazoea wateja wangu kuwaita "mkuu, tajiri, ofisa" ili kuwa fanya wajisikie vizuri kwo hadi kwa wengne najikuta natumia hvo hvoMara nyingi wafanyabiashara wanapenda kutumia hilo neno ili kumvutia na kumshawishi mteja (tajiri)
Unajua tajiri kuna utajiri wa aina nyingiKwanini watu wengi wanapenda kuita mtu tajiri tajiri. Unakuta hata hawakujui. Kumbe huna hata kitu
Hili swala liko common kwa wanaume. Kwanini mnapenda kuita hivyo, wakuu? Sio kila mtu anapenda kusifiwa.
Unajua tajiri kuna utajiri wa aina nyingiKwanini watu wengi wanapenda kuita mtu tajiri tajiri. Unakuta hata hawakujui. Kumbe huna hata kitu
Hili swala liko common kwa wanaume. Kwanini mnapenda kuita hivyo, wakuu? Sio kila mtu anapenda kusifiwa.
Hiyo ni tabia ya watu maskini,anakuita tajiri ili umnunulie bia,pombe sio chakula.ni wacongo walituambukiza.Kwanini watu wengi wanapenda kuita mtu tajiri tajiri. Unakuta hata hawakujui. Kumbe huna hata kitu
Hili swala liko common kwa wanaume. Kwanini mnapenda kuita hivyo, wakuu? Sio kila mtu anapenda kusifiwa.
Mkuu na Tajiri ina tofauti gani ?Kwanini mnapenda kuita hivyo, wakuu?