Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Nimewahi kuombwa gari na mtu hapo Coco beach nikamsaidie kuibusti gari yake iliyoshindwa kuwaka, miaka ambayo hata sikuwa namiliki gari 🙌
Baada ya miaka 2 nikaja kununua gari yangu ya kwanza kwenye maisha yangu 💪
Maneno huumba hasa ukimnenea mtu vizuri ama vibaya🤗
Tajiri nifanyie mpango wa hela ya Supu hapo Samaki Samaki 😜