Tabia yake ilimponza akaharibu meeting

Mimi napenda simu lakini kuna muda haina nafasi kabisa, lazima tuwe na mipaka na matumizi sahihi kutokana na mazingira.
Kweli mkuu. Hii inaongeza upendo kwa watu wote. Kwenye usafiri, hata majumbani pia.

Nakumbuka zamani ukitembelea familia fulani hata kwa ndugu, ukitaka kutoka unasindikizwa. Sasa hivi unaambiwa 'Haya, wasalimie hulo' huku mtu anaendelea ku-watch movie au kuchati. 😥
 
😂 ni kweli kabisa mkuu
 
Sikutaka nioneshe nimechukia, pengine angejisikia vibaya zaidi yangu. Niliona ndivyo alivyo, ni tabia ilofubaa! Hawezi kujistukia.
You acted like a gentleman, isingekuwa vema kunyanyuka tu na kuondoka. Ilifanya hivyo ili ujue kama ndivyo alivyo au ilitokea tu lakini kadri ulivyokuwa uliwasiliana nae sms na simu zake zikikudhihirishia kuwa ndivyo alivyo. You did it well bro
 
Ahsante sana, hatuna budi kuhekimika tu kila mahali.
 
Mi mwenyewe sikuwa siriaz kiviiiiile na nilifanya vile ili nikukere usinipotezee muda
 
First impression matters alot, hatujuagi tu Hilo jambo.
 
First impression matters alot, hatujuagi tu Hilo jambo.
Exactly. Others utakuta wanaji-underestimate na kujilaumu wenyewe kuwa hawana bahati kumbe wao ndo wanapaswa kuzitengeneneza hizo bahati. They don't care!
 
Mi mwenyewe sikuwa siriaz kiviiiiile na nilifanya vile ili nikukere usinipotezee muda
Ooh, kumbe ilikuwa makusudi? 🤔

lakini hayo maneno mbona yanaonekana kama ni ya kushindwa hivi!!? najua aliyepigwa huwa hasemi amepigwa. Husema yeye ndiye kapiga! 😁

Asiyetaka kupoteza muda, hata kuja asingekuja kabisa. We ukaja na hilo komwe! 😆
 
Kwa kitaalamu hiyo inaitwa FIRST IMPRESSION.......

Unavyokutana na mtu mara kwanza ndipo unapobuild general picture ya huyo mtu......

Hata mm nakereka sana na mtu kuwa busy na simu tukiwa wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…