Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukinielewa utakua umekua mwanaume halisi dogo😆😆 Chizi kweli! Nianze kufura kama nakutana na mbogo!
Nimekuelewa mkuu. Na-appreciate sana!Hivi kijana unashindwa kumwambia mwanamke aache kuchezea simu unatafta sababu et mshkaji wako akupigie dah umezingua sana mwanamke unamchana pale pale ajue analofanya ni ushamba flani ajione fala
Hii ya tamthilia ni hatari Yani ni kama uleviHii tabia sahivi imekuwa sugu. Watu tuko bize na simu au tamthiliya kwenue Tv.
Mm saa 2 Yani had muda huo nahakikisha nishapika hapo ni had saa 4 😀Yaani. Kuna zile za wiki nzima, unakuta mtu anaangalia kuanzia saa 5 asubuhi hadi 12 jioni. Ye ni kubadilisha tu style ya kukaa. 😁
Pole ndugu, ingekuwa biblia haisemi kuwa apatae mke, apata kitu chema, naye hupata kibali machoni kwa bwana, woi nisingeoa Mimi, hawa watu mama yao ni mmoja yani ni kwikwi,.Mi nilisema baasi.. Nasubiri hadi siku Mungu afungue milango! 😀
Naam mkuu, hatupaswi tu kuoa kwa sababu tuko wapweke, au kuna watu watakunyooshea kidole kuwa huoi, au labda unakwepa majakumu, la hasha!, lazima kumpata mtu sahihi wa kuwa care na familia. Tunafanya kwa ajili ya familia na si haja zetu.Pole ndugu, ingekuwa biblia haisemi kuwa apatae mke, apata kitu chema, naye hupata kibali machoni kwa bwana, woi nisingeoa Mimi, hawa watu mama yao ni mmoja yani ni kwikwi,.
Swadakta....Mimi napenda simu lakini kuna muda haina nafasi kabisa, lazima tuwe na mipaka na matumizi sahihi kutokana na mazingira.
Watu kama hawa huwa wanaboa sana yani.Watu wa namna hiyo wanaboa sana aise
Huko ni kukosa ustaarabu
Kuna mwenzake aliomba tukutane kwa mazungumzo ya kufahamiana zaidi, hua tunaonana na kuongea kijuu juu
Wahenga walisema kataa maneno usikatae wito
Tukafanikiwa kumeet ila mazungumzo yale yakapoteza mvuto coz mtu yuko bze na simu
Nikamwambia tu naomba tufanye siku nyingine ambayo utakua umemaliza issue zako maana kwasasa naona upo bze na simu
Sahihi sana valentina kuna baadhi ya watu hawawezi jizuia simu wanatumia ad chooniSwadakta....
Tujitahidi kuwapa wengine attention kwa muda huo mchache tunapokua nao
Simu tuziweke kando kwa muda huo
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app