Tabia yake ilimponza akaharibu meeting

Tabia yake ilimponza akaharibu meeting

Hivi kijana unashindwa kumwambia mwanamke aache kuchezea simu unatafta sababu et mshkaji wako akupigie dah umezingua sana mwanamke unamchana pale pale ajue analofanya ni ushamba flani ajione fala
 
Nimekuelewa mkuu. Na-appreciate sana!
 
Hii ya tamthilia ni hatari Yani ni kama ulevi
Yaani. Kuna zile za wiki nzima, unakuta mtu anaangalia kuanzia saa 5 asubuhi hadi 12 jioni. Ye ni kubadilisha tu style ya kukaa. 😁
 
Mm saa 2 Yani had muda huo nahakikisha nishapika hapo ni had saa 4 😀
 
Mi nilisema baasi.. Nasubiri hadi siku Mungu afungue milango! 😀
Pole ndugu, ingekuwa biblia haisemi kuwa apatae mke, apata kitu chema, naye hupata kibali machoni kwa bwana, woi nisingeoa Mimi, hawa watu mama yao ni mmoja yani ni kwikwi,.
 
Naam mkuu, hatupaswi tu kuoa kwa sababu tuko wapweke, au kuna watu watakunyooshea kidole kuwa huoi, au labda unakwepa majakumu, la hasha!, lazima kumpata mtu sahihi wa kuwa care na familia. Tunafanya kwa ajili ya familia na si haja zetu.

Kuoa kimhemko ni hasara!
 
Watu wa namna hiyo wanaboa sana aise

Huko ni kukosa ustaarabu

Kuna mwenzake aliomba tukutane kwa mazungumzo ya kufahamiana zaidi, hua tunaonana na kuongea kijuu juu

Wahenga walisema kataa maneno usikatae wito

Tukafanikiwa kumeet ila mazungumzo yale yakapoteza mvuto coz mtu yuko bze na simu

Nikamwambia tu naomba tufanye siku nyingine ambayo utakua umemaliza issue zako maana kwasasa naona upo bze na simu

From there sikuhangaika hata kujibu mawasiliano yake, niliona bado ana utoto

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Watu wa namna hiyo wanaboa sana aise

Huko ni kukosa ustaarabu

Kuna mwenzake aliomba tukutane kwa mazungumzo ya kufahamiana zaidi, hua tunaonana na kuongea kijuu juu

Wahenga walisema kataa maneno usikatae wito

Tukafanikiwa kumeet ila mazungumzo yale yakapoteza mvuto coz mtu yuko bze na simu

Nikamwambia tu naomba tufanye siku nyingine ambayo utakua umemaliza issue zako maana kwasasa naona upo bze na simu
Watu kama hawa huwa wanaboa sana yani.
 
Back
Top Bottom