Tabia yake ilimponza akaharibu meeting

Ningelikuwa wewe ningemwambia naomba tupange meeting siku nyingine maana leo uko busy sana na simu na nisingependa kukuharibia halafu ningempa kumi tuu ya nauli nikaondoka! Na nisinge thubutu kumtumia sms mpaka yeye anitafute!
Kama angelinitafuta ningemuleza wazi kuwa i hate that habit na siwezi kuhimiri na nimrhisi kudharirishwa na yeye!

Kimsingi hii tabia mtu anaweza kuiacha kama kweli yuko serious na wewe… maana wanawake wengi wanayo hata wakienda kwenye mikusanyiko wao ni kuchati tuuu wao ni simu tuu na kuomba charger……
Binafsi nachukia sana hii tabia
 
Kweli mkuu, ila kwa mtu ambaye siyo muelewa anaweza akalichukulia negatively na kuona kuwa wewe ni mkorofi na mwenye hasira. Siku hizi ukitoa maelekezo sana wanasema "mwanaume ana gubu huyu!!".
 
Mtu mwenyewe nliona tu umekaa kianalog tusingeendana pole kwa matumaini uliyoondoka nayo ya kuniacha🀣🀣🀣🀣
 
Hahah senzi tye!
Kwanza ninawashukuru sana mashoga zako, waliniokoa. Hata hivo nilivumilia tu sijui ndio ilikuwa mara yako ya kwanza kufanyiwa meeting!? 😁 Zile kope ulibandika mchana au usiku? πŸ˜† Na kile ki-skirt ulikichukua kwa fundi hakijaisha? πŸ˜‚ Maana ulikuwa mtu wa ajabu kweli, hadi nikasikia muhudumu pembeni akisema 'Leo kaka wa watu kaokota kimdoli'. πŸ˜‚
 
Kweli mkuu, ila kwa mtu ambaye siyo muelewa anaweza akalichukulia negatively na kuona kuwa wewe ni mkorofi na mwenye hasira. Siku hizi ukitoa maelekezo sana wanasema "mwanaume ana gubu huyu!!".
Kwa nilichojifunza kwenye maisha yaha ya mahusiano ni kuwa wanawake wanatumia neno β€œgubu” dhidi ya wanaume ili kuficha madhaifu yao na wanalitumia neno hilo kuzuia wanaume tusiseme na tufunge mdomo na furaha ya mwanamke nikuona mwanaume ana nyamaza tuu akemei wala aonyi kabisa hapo ndio utaonekana mstaarabu sana sasa ukiwa mtu wa kuto acha jambo linalokukera lipite basi neno gubu lazima likukumbe!

Bahati mbaya tabia hii ya kuchati au kutumia simu sehemu ambazo sio lazima au haitakiwi tunazo hata sisi wanaume lakini nimegundua kuwa sisi wanaume ni rahisi sana kuacha hii tabia kuliko wanawake walio wengi….
 
Mkuu pengine wewe mgeni Jf? Usipoteze muda ukadhani unayepambana nae ndiye muhusika…jf imejaa vituko…huyo pengine yuko yombo hapo chini ya mti ana ku enjoy tuu..,,,
 
Maisha mdogo mdogo wewe achana na t shirt yangu zingatia kilichokuwa ndani yake......
 
Mkuu pengine wewe mgeni Jf? Usipoteze muda ukadhani unayepambana nae ndiye muhusika…jf imejaa vituko…huyo pengine yuko yombo hapo chini ya mti ana ku enjoy tuu..,,,
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… anakimbiza hewa au sio⁰
 
Mwanaume unazidiwa akili na demu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tatizo hamna kauli za mamlaka hivyo dem anaona kama yupo na shost ake
 
Sisi wanaume wengi tunajielewa sana, wanawake ni wachache.
 
Mkuu pengine wewe mgeni Jf? Usipoteze muda ukadhani unayepambana nae ndiye muhusika…jf imejaa vituko…huyo pengine yuko yombo hapo chini ya mti ana ku enjoy tuu..,,,
Kweli kaka, mi pia nimemuwekea jokes tu. πŸ˜‚
 
Mwanaume unazidiwa akili na demu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tatizo hamna kauli za mamlaka hivyo dem anaona kama yupo na shost ake
πŸ˜†πŸ˜† Chizi kweli! Nianze kufura kama nakutana na mbogo!
 
Huyo dada unayemsema hujamkomoa alishaolewa na anaendelea na maisha yake kama kawa.
Kila mtu apambane na life lake.
 
Huyo alikuwa kichwa maji. Afadhali angekuwa anapigiwa, lakini yeye ndio anawapigia?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…