Tabia yangu ya asili " Ujuaji" Ilivyo sabanisha nisome na kumaster Mathematics

Leo nimekutana na school mate wangu wa O-Level. Her name is Munira.

Mimi nikiwa form 4, 2002 yeye alikuwa form 3. She was my friend.

I am 1 year older than her. In 2002 I was 16 and 17, she was 15 and 16.

Sijawahi kuona msichana ambae
" anapenda" hesabu kama yeye.

It was as if her brain was biologically wired to just love mathematics and mathematics only.

Nilimtungia jina " Miss Algebra " and she loved it to the moon and back

Guess what? She is an Arab girl.

Wazazi wake mmoja mpemba mwarabu, mama yake mwarabu wa shinyanga.

Ni wale waarabu pure sio chotara.

So u can imagine mtu ninae mzungumzia. Mtoto wa kike, wa kipemba, ( mwarabu) kwao Kariakoo halafu anapenda sana hesabu. Somo langu ambalo liliaminika kuwa la wanaume wenye sura ngumu. SO ASYMETRICAL

Nilikua nasoma mkondo wa Science na yeye alikuwa anasoma mkondo wa sayansi pia.

Nilijuana nae kupitia kidemu changu. Kilikuwa form 2 . Walikuwa wana kaa mtaa mmoja. Munira alikuwa interested na urafiki na mimi kwa sababu aligundua nilikuwa napenda sana Physics na Chemistry.

So alikuwa analeta maswali ya physics na Chemistry nimsaidie Ku solve..

Wakati mwingine akawa analeta na maswali ya hesabu. Ili nisionekane fala nisie jua hesabu nikawa Naya chukua napeleka kwa mabro wakali wa Mathe wana " Ya sheta" Kesho yake namsolvia.

So nikawa kama " DESA BOY" wake, kipanga wake.

Munira ni aina ya msichana ambae kijana rijali unatakiwa kuwa karibu nae kwa sababu kupitia yeye nilipata mademu wengine wengi sana wakali.

Ile " Clout " tu ya kuonekana nipo na Munira iliwaleta kwangu mademu wengi sana.

Mademu huwa wana jirahisi sana kwa mwanaume ambae ana msichana mzuri..

Munira hakuwa mwarabu tu bali mdada mzuri. Niliogopa kumtongoza kwa kuhofia ange " nitolea nje" na inge haribu urafiki wetu na mimi ninge loose zaidi Upande wa warembo ( madenti wenzangu) waliokuwa wana jirahisi kwangu kwa sababu waliamini mimi natoka na Munira.

BAADA YA MATOKEO YA FORM 4.

Picha linaanza napata Division 3 ya 25.

Chanzo kufeli ilikuwa ni mademu. Nilitembea na mademu wengi sana. ( Madenti wenzangu).. Muda mwingi nilikuwa naupoteza kwenda kupiga misele kwao na hao mademu kuwaleta maghetoni etc. They were so many of them I can't even count them. Wengine wa SHULE ni kwetu wengine shule jirani.

NA KAA MTAANI MIAKA MIWILI.

Wakati nasubiri MATOKEO kuna mchongo nilikuwa naufanya na ulikuwa unanilipa so sikuendelea na masomo kwa sababu " I was so busy counting papers".

MCHONGO UNAISHA NA RUDI SHULE 2005 ( FORM V SHULE YA PRIVATE)

Nilikuwa inspired na

1. My father was keep on telling me to go to High School.

2. Solo Thang in a 2003 hit song Mtazamo ( Vidato Sita nlivyo pitia, ndo vinavyo nisaidia)

NASOMA. HKL

Ingawa nilisoma mkondo wa sayansi O Level but High School nilienda kusoma HKL. Nilitaka nisome kombi rahisi ambayo itanipa guarantee ya kwenda Chuo Kikuu.

2. Kombi zilibalance HKL. Kule sayansi nilipata C ya Chemistry tu ( Thanks for practical)

NAKUTANA NA MUNIRA CHUO KIKUU UDSM.

Alikuwa mwaka wa pili mimi nipo wa kwanza.

Chuo KIKUU nilikuwa " NGWINE" . UDSM ALUMNI wanajua nini maana ya NGWINE.

For Beginners, NGWINE ni slur word iliyokuwa inatumiwa na wanafunzi wa COET ( Engineering) kuwa refer wanafunzi wote wanao chukua kozi tofauti na Engineering.

Kozi yangu ilikuwa ni pure arts. Huyu Munira yeye kozi yake ilikuwa ni pure Mathematical.. Niligundua pia Advance alisoma PCM.

Kingine Munira alikuwa shabiki mkubwa sana wa Man U mimi Arsenal.

Siku moja tukiwa tunabishana kuhusu Arsenal na Man U. Munira akankambia, kwa jinsi ulivyo " Much Know and Egotistical " Unatakiwa Uwe shabiki wa Man U halafu unatakiwa usome na ujue hesabu.

Yale maneno ya Munira kuhusu hesabu yalikaa na kuishi ndani ya kichwa changu.

NARUDI KUSOMA UPYA HESABU

Almost miaka kadhaa baada ya kumaliza chuo kuna project nilitaka kuifanya ambayo ilinilazimu kujua all arts and science including mathematics.

Kwa kuwa am so EGOTISTICAL. My ego is the most biggest on earth,I had to learn Mathematics. Lengo Lili kuwa ni kuzi master concept za hesabu vizuri ili nitakapo kuwa nina andika kazi zangu niweze kutumia pia mathematical concepts kujenga na kuelezea hoja zangu na kwa kweli imenisaidia sana.

Nilianza na hesabu za Form 1,2,3,4 nikaja BAM and Pure Mathematics ( 5 &6) nikamaliza na vitabu na concepts zinazo fundishwa wanafunzi wa Degree in Mathematics.

I conducted a lot of research. A very extensive research on Mathematics.

Nime wa consult walimu na wataalamu mbalimbali wa hesabu Tanzania na nje ya Tanzania.

Nimegundua kitu kimoja, kama unataka kuwa mwandishi mzuri basi soma hesabu. Kama unataka kuelezea au kujua jambo lolote lile vizuri basi soma hesabu. Hesabu is divine.

Kuna baadhi ya concepts huwezi kuzijua wala kuzielezea vizuri bila kusoma kwanza hesabu.

Isack Newton baada ya kudondokewa na apple ali struggle sana kupata lugha ya kisayansi ya kuelezea hiyo phenomenon . So ili mbidi arudi darasani tena kuongeza ujuzi zaidi Kwenye somo la hisabati. He studied mathematics for ten years for him to be able to explain the apple incident in a professional and scientific language.

Never surprise your ego.
Surrender to your ego.
Inamaana mpaka leo unaogopa kumtongoza munira kaka

Acha masihara ujue

🤣🤣
 
Maelezo marefu ila ulipopata C ya Form 3 huwezi tena kujiita mkali wa Hesabu. Form 4 ni reference ya 1 kwa wanataaluma yeyote yule. Andiko lako libakie tu kama motivation lakini sio kwamba ulizimaster hesabu, unaonekana ulikuwa slow learner but kitombi ulikiwa sharp, title Yako ingejielekeza zaidi kwenye kuwa kitombi na sio kumaster hesabu
 
Kwa nature ya mathematics ilivyo ngumu kwa watu wengi, kama huijui na ulifeli, sina uhakika kama unaweza kuisoma kwa hobby tuu, labda kwa mtihani muhimu sana au utakuwa mzuri kwenye mathematics ila ulikuwa hujui
 
U know what? I was motivated by a phrase "Mathematics is the language of the universe".

I wanted to know the language of the universe.

Believe me everything is possible
 
Maelezo marefu ila ulipopata C ya Form 3 huwezi tena kujiita mkali wa Hesabu. Form 4 ni reference ya 1 kwa wanataaluma yeyote yule. Andiko lako libakie tu kama motivation lakini sio kwamba ulizimaster hesabu, unaonekana ulikuwa slow learner but kitombi ulikiwa sharp, title Yako ingejielekeza zaidi kwenye kuwa kitombi na sio kumaster hesabu
Sikupata hata C ya Mathe form 4. Nilipata D but believe me every thing is possible.

Nimeweza kuzimasta hesabu kwa sababu nilikuwa nasoma kwa ajili yangu na sio kama hao vijana wa darasani wanao soma kwa ajili ya Necta
 
Ukisoma chochote Kwa msukumo wa aina hii, lazima ukielewe sana.

Kuna vitu vingi nimejifunza Kwa mtindo huu, vimenipa fursa nyingi sana Kwa vile nimevielewa ipasavyo.
 
Tafuta ela kwenye benki una akiba kiasi gani vingine upepo na utoto
Nashangaa mtu alikuwa form four 2000 anawaza aya

Wenzako wanawaza makampuni na project kubwa....
 
Ukisoma chochote Kwa msukumo wa aina hii, lazima ukielewe sana.

Kuna vitu vingi nimejifunza Kwa mtindi huu, vimenipa fursa nyingi sana Kwa vile nimevielewa ipasavyo.
Facts
 
Tafuta ela kwenye benki una akiba kiasi gani vingine upepo na utoto
Nashangaa mtu alikuwa form four 2000 anawaza aya

Wenzako wanawaza makampuni na project kubwa....
Oh you want me to be you or them?

Very interestingly..

Do u think how much I make with the knowledge that I have acquired in Maths?

Hata Uzi hujasoma. Nimesema " Kusoma hesabu kumesaidia Sana kuifanikisha project yangu" . Hujaelewa maana ya neon "project" Eeh.
 
Baadhi ya vitabu nilivyo soma vya Mathematics :

1. Flatland: A Romance of Many Dimensions.

Author : Edwin A. Abbot

1751725715100.png
 
Sikupata hata C ya Mathe form 4. Nilipata D but believe me every thing is possible.

Nimeweza kuzimasta hesabu kwa sababu nilikuwa nasoma kwa ajili yangu na sio kama hao vijana wa darasani wanao soma kwa ajili ya Necta
Watu wengi hawaelewi ukisoma jambo kwa ajili yako ni rahisi sana kulimaster tofauti na ukisoma kwa ajili ya kufaulu mtihani
 
Leo nimekutana na school mate wangu wa O-Level. Her name is Munira.

Mimi nikiwa form 4, 2002 yeye alikuwa form 3. She was my friend.

I am 1 year older than her. In 2002 I was 16 and 17, she was 15 and 16.

Sijawahi kuona msichana ambae
" anapenda" hesabu kama yeye.

It was as if her brain was biologically wired to just love mathematics and mathematics only.

Nilimtungia jina " Miss Algebra " and she loved it to the moon and back

Guess what? She is an Arab girl.

Wazazi wake mmoja mpemba mwarabu, mama yake mwarabu wa shinyanga.

Ni wale waarabu pure sio chotara.

So u can imagine mtu ninae mzungumzia. Mtoto wa kike, wa kipemba, ( mwarabu) kwao Kariakoo halafu anapenda sana hesabu. Somo langu ambalo liliaminika kuwa la wanaume wenye sura ngumu. SO ASYMETRICAL

Nilikua nasoma mkondo wa Science na yeye alikuwa anasoma mkondo wa sayansi pia.

Nilijuana nae kupitia kidemu changu. Kilikuwa form 2 . Walikuwa wana kaa mtaa mmoja. Munira alikuwa interested na urafiki na mimi kwa sababu aligundua nilikuwa napenda sana Physics na Chemistry.

So alikuwa analeta maswali ya physics na Chemistry nimsaidie Ku solve..

Wakati mwingine akawa analeta na maswali ya hesabu. Ili nisionekane fala nisie jua hesabu nikawa Naya chukua napeleka kwa mabro wakali wa Mathe wana " Ya sheta" Kesho yake namsolvia.

So nikawa kama " DESA BOY" wake, kipanga wake.

Munira ni aina ya msichana ambae kijana rijali unatakiwa kuwa karibu nae kwa sababu kupitia yeye nilipata mademu wengine wengi sana wakali.

Ile " Clout " tu ya kuonekana nipo na Munira iliwaleta kwangu mademu wengi sana.

Mademu huwa wana jirahisi sana kwa mwanaume ambae ana msichana mzuri..

Munira hakuwa mwarabu tu bali mdada mzuri. Niliogopa kumtongoza kwa kuhofia ange " nitolea nje" na inge haribu urafiki wetu na mimi ninge loose zaidi Upande wa warembo ( madenti wenzangu) waliokuwa wana jirahisi kwangu kwa sababu waliamini mimi natoka na Munira.

BAADA YA MATOKEO YA FORM 4.

Picha linaanza napata Division 3 ya 25.

Chanzo kufeli ilikuwa ni mademu. Nilitembea na mademu wengi sana. ( Madenti wenzangu).. Muda mwingi nilikuwa naupoteza kwenda kupiga misele kwao na hao mademu kuwaleta maghetoni etc. They were so many of them I can't even count them. Wengine wa SHULE ni kwetu wengine shule jirani.

NA KAA MTAANI MIAKA MIWILI.

Wakati nasubiri MATOKEO kuna mchongo nilikuwa naufanya na ulikuwa unanilipa so sikuendelea na masomo kwa sababu " I was so busy counting papers".

MCHONGO UNAISHA NA RUDI SHULE 2005 ( FORM V SHULE YA PRIVATE)

Nilikuwa inspired na

1. My father was keep on telling me to go to High School.

2. Solo Thang in a 2003 hit song Mtazamo ( Vidato Sita nlivyo pitia, ndo vinavyo nisaidia)

NASOMA. HKL

Ingawa nilisoma mkondo wa sayansi O Level but High School nilienda kusoma HKL. Nilitaka nisome kombi rahisi ambayo itanipa guarantee ya kwenda Chuo Kikuu.

2. Kombi zilibalance HKL. Kule sayansi nilipata C ya Chemistry tu ( Thanks for practical)

NAKUTANA NA MUNIRA CHUO KIKUU UDSM.

Alikuwa mwaka wa pili mimi nipo wa kwanza.

Chuo KIKUU nilikuwa " NGWINE" . UDSM ALUMNI wanajua nini maana ya NGWINE.

For Beginners, NGWINE ni slur word iliyokuwa inatumiwa na wanafunzi wa COET ( Engineering) kuwa refer wanafunzi wote wanao chukua kozi tofauti na Engineering.

Kozi yangu ilikuwa ni pure arts. Huyu Munira yeye kozi yake ilikuwa ni pure Mathematical.. Niligundua pia Advance alisoma PCM.

Kingine Munira alikuwa shabiki mkubwa sana wa Man U mimi Arsenal.

Siku moja tukiwa tunabishana kuhusu Arsenal na Man U. Munira akankambia, kwa jinsi ulivyo " Much Know and Egotistical " Unatakiwa Uwe shabiki wa Man U halafu unatakiwa usome na ujue hesabu.

Yale maneno ya Munira kuhusu hesabu yalikaa na kuishi ndani ya kichwa changu.

NARUDI KUSOMA UPYA HESABU

Almost miaka kadhaa baada ya kumaliza chuo kuna project nilitaka kuifanya ambayo ilinilazimu kujua all arts and science including mathematics.

Kwa kuwa am so EGOTISTICAL. My ego is the most biggest on earth,I had to learn Mathematics. Lengo Lili kuwa ni kuzi master concept za hesabu vizuri ili nitakapo kuwa nina andika kazi zangu niweze kutumia pia mathematical concepts kujenga na kuelezea hoja zangu na kwa kweli imenisaidia sana.

Nilianza na hesabu za Form 1,2,3,4 nikaja BAM and Pure Mathematics ( 5 &6) nikamaliza na vitabu na concepts zinazo fundishwa wanafunzi wa Degree in Mathematics.

I conducted a lot of research. A very extensive research on Mathematics.

Nime wa consult walimu na wataalamu mbalimbali wa hesabu Tanzania na nje ya Tanzania.

Nimegundua kitu kimoja, kama unataka kuwa mwandishi mzuri basi soma hesabu. Kama unataka kuelezea au kujua jambo lolote lile vizuri basi soma hesabu. Hesabu is divine.

Kuna baadhi ya concepts huwezi kuzijua wala kuzielezea vizuri bila kusoma kwanza hesabu.

Isack Newton baada ya kudondokewa na apple ali struggle sana kupata lugha ya kisayansi ya kuelezea hiyo phenomenon . So ili mbidi arudi darasani tena kuongeza ujuzi zaidi Kwenye somo la hisabati. He studied mathematics for ten years for him to be able to explain the apple incident in a professional and scientific language.

Never surprise your ego.
Surrender to your ego.
Soma Philosophy na huko utasoma Philosophy of Mathematics, Philosophy of Science, etc utapenda.
 
Chai
 
Back
Top Bottom