Tabia yangu ya asili " Ujuaji" Ilivyo sabanisha nisome na kumaster Mathematics

Tunaishukuru serikali ya mama Samia
 
Inamaana mpaka leo unaogopa kumtongoza munira kaka

Acha masihara ujue

🤣🤣
 
Maelezo marefu ila ulipopata C ya Form 3 huwezi tena kujiita mkali wa Hesabu. Form 4 ni reference ya 1 kwa wanataaluma yeyote yule. Andiko lako libakie tu kama motivation lakini sio kwamba ulizimaster hesabu, unaonekana ulikuwa slow learner but kitombi ulikiwa sharp, title Yako ingejielekeza zaidi kwenye kuwa kitombi na sio kumaster hesabu
 
Kwa nature ya mathematics ilivyo ngumu kwa watu wengi, kama huijui na ulifeli, sina uhakika kama unaweza kuisoma kwa hobby tuu, labda kwa mtihani muhimu sana au utakuwa mzuri kwenye mathematics ila ulikuwa hujui
 
U know what? I was motivated by a phrase "Mathematics is the language of the universe".

I wanted to know the language of the universe.

Believe me everything is possible
 
Sikupata hata C ya Mathe form 4. Nilipata D but believe me every thing is possible.

Nimeweza kuzimasta hesabu kwa sababu nilikuwa nasoma kwa ajili yangu na sio kama hao vijana wa darasani wanao soma kwa ajili ya Necta
 
Ukisoma chochote Kwa msukumo wa aina hii, lazima ukielewe sana.

Kuna vitu vingi nimejifunza Kwa mtindo huu, vimenipa fursa nyingi sana Kwa vile nimevielewa ipasavyo.
 
Tafuta ela kwenye benki una akiba kiasi gani vingine upepo na utoto
Nashangaa mtu alikuwa form four 2000 anawaza aya

Wenzako wanawaza makampuni na project kubwa....
 
Ukisoma chochote Kwa msukumo wa aina hii, lazima ukielewe sana.

Kuna vitu vingi nimejifunza Kwa mtindi huu, vimenipa fursa nyingi sana Kwa vile nimevielewa ipasavyo.
Facts
 
Tafuta ela kwenye benki una akiba kiasi gani vingine upepo na utoto
Nashangaa mtu alikuwa form four 2000 anawaza aya

Wenzako wanawaza makampuni na project kubwa....
Oh you want me to be you or them?

Very interestingly..

Do u think how much I make with the knowledge that I have acquired in Maths?

Hata Uzi hujasoma. Nimesema " Kusoma hesabu kumesaidia Sana kuifanikisha project yangu" . Hujaelewa maana ya neon "project" Eeh.
 
Baadhi ya vitabu nilivyo soma vya Mathematics :

1. Flatland: A Romance of Many Dimensions.

Author : Edwin A. Abbot

Sikupata hata C ya Mathe form 4. Nilipata D but believe me every thing is possible.

Nimeweza kuzimasta hesabu kwa sababu nilikuwa nasoma kwa ajili yangu na sio kama hao vijana wa darasani wanao soma kwa ajili ya Necta
Watu wengi hawaelewi ukisoma jambo kwa ajili yako ni rahisi sana kulimaster tofauti na ukisoma kwa ajili ya kufaulu mtihani
 
Soma Philosophy na huko utasoma Philosophy of Mathematics, Philosophy of Science, etc utapenda.
 
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…