Tabia yangu ya kutojipendekeza, kusujudia maboss na kutokuwa mfitini inanisotesha mtaani

Swala la mabosi kupenda umbea Lina vi element vya udini Ndani yake.
Kuna watu wa dini fulani kutwa wao Ni majungu, fitina na umbea
Mkuu huwa unapenda Sana masuala ya dini na udini..... something is not right in your persona.

Afrika itapiga HATUA ikiachana na haya masuala ya watu kuangaliana juu ya imani na mitazamo ya watu kuamini KUSIKOONEKANA....

Bila ya hivyo kila watu na hivyo vikundi vyenu Vya dini mtaendelea kurithishana chuki isiyokwisha vizazi hadi vizazi.

Mungu anusuru watoto na wajukuu zangu na huo UTOPOLO wenu,aaamin aaaaamin.
 
Kwel baba kim jong bora urudi kurusha makombora ya nuclear
Karibu Pyongyang hapa North Korea tunaandaa mipango ya kurusha kombora lingine kwenye pwani ya Japan.


Litakuwa kombora la Masafa marefu - Intercontinental Ballistic Missile (ICBM).


Karibu Sana.
 
Mamy hayo yote siunaelewa tena wengine tuna (Big [emoji3590] heart) hatuna kuwaza ivo vitu.

Yan roho ngumu nlionayo sa hv qmamayo[emoji24] joto la jiwe linaendelea kunikaanga yan bastola lazma ninunue aisee
 
Karibu Pyongyang hapa North Korea tunaandaa mipango ya kurusha kombora lingine kwenye pwani ya Japan.


Litakuwa kombora la Masafa marefu - Intercontinental Ballistic Missile (ICBM).


Karibu Sana.
Mkuu ungeseti coordinates zingne maana naona kuna watu nchi hii wanatakiwa wafanyiwe automation testing
 
Yani kufanya kazi na waswahili Ni kazi Sana Bora ujiajiri.


Jitu kwenye kikao linaongea pumba kwasababu ana cheo , unaliona libaba lizima kwa pembeni linakenua kwa furaha na meno yamejaa kisamvu yote yako nje. Yani baba zima linafurahia upumbavu kisa anaongea boss.


Mimi hiyo tabia hapana.
 
Mamy hayo yote siunaelewa tena wengine tuna (Big [emoji3590] heart) hatuna kuwaza ivo vitu.

Yan roho ngumu nlionayo sa hv qmamayo[emoji24] joto la jiwe linaendelea kunikaanga yan bastola lazma ninunue aisee
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji1787][emoji1787]pole mkuu, nakuombea
 
Mimi tabia yangu ya Kutopenda Unafiki, Ujinga, Utoto, Upuuzi, Upumbavu, Kujikomba na Kuongopa imenifanya nichukiwe sana kuliko hata Shetani.
Mkuu "utoto" kwa kingereza Ni Nini? Nataka Niweke hizi Dislikes zako mahali.
 
Mkuu ungeseti coordinates zingne maana naona kuna watu nchi hii wanatakiwa wafanyiwe automation testing
Mkuu hao "Maafakers" ni kuachana nao. Mimi nimeshapoteza kazi sehemu kadhaa.


Nilichojifunza Ukiwa kazini hupendi Umbea, Usengenyaji, kujipendekeza au kujichekesha mbele ya mabosi. Jua kabisa hauna sifa ya kuajiriwa wewe una sifa ya kujiajiri. Uko kwenye Wrong Path mwisho wa siku ni kupoteza muda na utaishia kuzinguana na hao mbwa.
 
Mjadala Mzuri Sana ila nilichogundua wakati mwingine uwezo wako unapokuwa mkubwa sana ukilinganisha na zile CV zako za kutukuka huku Ukiwa kijana mwenye kujitambua kipersona,kimahamali ulipo na kimuda...hwenda likawa pia ni tatizo makazini mwetu humuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kirangaa komooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama jina lakoo...
 
So
So sad! For how long you have been through this situation?
 
Tatizo wako VIJANA wanaojipendekeza vya kutosha mpaka kufikishwa kuna'nihiliwa' kinyume Cha utu na heshimaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Ukijitambua vyema jua kuna GHARAMA Ni lazima utazipitia hapa duniani.
daah kumbe tuko wengi hum...!!hili swala limewahi nikutaa nikaachaachishwa kazii kwa kushitukizwaaa..
kuja kuchunguzaa bos ni mtu wa sifaa na wakupokea vijimaneno na mtu anayetaka ujipendekezee
sasa hivyo vyote mimi sinaa....!!
 
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787] very truu


Watu wanadanganyana humu, ukweli ni kuwa maisha bila kujipendeza utachacha, utachapika, utapigtika.

Kwenu ni masikini, elimu yenyewe ya kuunga unga, tena umesomea kozi za watu wengi, kozi ambazo mmejazana mtaani kama kumbikumbi.

Asikudanganye mtu kujipendekeza kunalipa sehemu yoyote ile
 
Hii ndio tabia yangu mimi
 
Duuuh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…