Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Mkuu huwa unapenda Sana masuala ya dini na udini..... something is not right in your persona.Swala la mabosi kupenda umbea Lina vi element vya udini Ndani yake.
Kuna watu wa dini fulani kutwa wao Ni majungu, fitina na umbea
Afrika itapiga HATUA ikiachana na haya masuala ya watu kuangaliana juu ya imani na mitazamo ya watu kuamini KUSIKOONEKANA....
Bila ya hivyo kila watu na hivyo vikundi vyenu Vya dini mtaendelea kurithishana chuki isiyokwisha vizazi hadi vizazi.
Mungu anusuru watoto na wajukuu zangu na huo UTOPOLO wenu,aaamin aaaaamin.