Tabia yangu ya kutojipendekeza, kusujudia maboss na kutokuwa mfitini inanisotesha mtaani

unauliza kama umekatika kichwa, unauliza wangap kwani nikikwambia 20 utakuwa na uhakika gani ama majibu yangu utayapima vipi? kama ya kweli ama laaah

kwani dini ile we umejua ni dini gan?

Unaniuliza badala ya kunijibu nilichokuuliza katika swali langu la Kwanza kabisa?
 


Pole sana
mimi nilifanya kazi Bulyanhulu Mines, Kazi nilipata kwa connection ya Dingi, sijui kumbe mshahara wako wa kwanza unatakiwa nusu kwa nusu na kabosi ka kabongo tu wakati kampuni ya Wacanada, wenzagu wote walifanya hivyo, na pia mara kwa mara wanamcheki ka laki hivi duuh!
Mimi nilikuwa nampotezea tu, lakini sikudumu nikachongewa upuuzi, nikapigwa bomba
nakasema mimi na kazi bongo mwisho ndio huu
 
😂😂😂
 
Unaniuliza badala ya kunijibu nilichokuuliza katika swali langu la Kwanza kabisa?
Mkuu nikujibu nini kwani dini ile ni dini gani? labda nikujibu dini ile ni ndugu zetu, ni familia rafiki, ni jamaa zetu ko kuanzia ngazi ya mtu mmoja, familia,koo tunaona yanayo tokea.

bahati nzuri nilipata fanya mkoa na ofisi walipo wengi nikawa na uzoefu wa tabia zao anzia kwa jamii hadi ofisini ni uongo na unafiki mwanzo mwisho. .
una swali lingine
 
hii dini ni kweli ni ndugu zetu ila kwa kuchongeana wako vyema, anzia ngazi za familia,ukoo hadi majirani ni uongo uongo tu hadi wanaume sijui wana tatizo gani hawa jamaa.
Sio kweli ndugu.
Mimi kwenye sehemu nilizopita za kazi hao watu wa dini hiyo mnaowasema hawakuwepo au hata kama walikuwepo haivuki asilimia 5.
Lakini bado majungu na kujikomba kulikuwa kwingi kwa hao watu wa dini mnayoisifia.
Tuchukulie kwa mfano kwenye utawala wa Magufuli halafu tuangalie watu wanaojikomba kwake.
Akina Paulo makonda ni dini gani?Akina palamagamba ni dini gani?Akina Augustino Mrema ni dini gani?
Kitu ambacho hamjajua hiyo ndio asili ya Mtanzania kazi kidogo maneno mengi,wewe ukiwa mchapakazi utachukiwa na kuambiwa unataka sifa.
Nenda nchi kama Sudan kama utakutana na upuuzi kama huu.
 

Ur sucha a good person ubarikiwe sana, binafsi niko hivo maisha yangu yote. Sijawahi kuingia ofisi za mabosi kwa kujipeleka bila shida rasmi ama kuitwa never.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…