Tabia yangu ya kutojipendekeza, kusujudia maboss na kutokuwa mfitini inanisotesha mtaani

Unakuta meneja ana tumbo kubwa lakini anamlamba boss matak*, niligoma mim

Nilikuwa napiga kazi kama chizi mademu wanapeleka umbea napiga wao na kazi nikafutwa kazi kampuni ikafa.
Duh yaani wewe kufutwa kazi kampuni ikafa? Kwamba ni coincidence au ulikuwa na umuhimu kuliko members wote wa hio kampuni?
 
Yani hapa tupo sawa hata mimi sipendi kujipendekeza kabisa wala kujikomba na hii tabia nadhani ilichangia sana mpaka hao wanaotaka kuitwa maboss wakanibania mkataba na kuniachisha kazi.

Kumwita mtu boss huu ni mtiani mkubwa sana kwangu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me mwaka 2012 baingia ofis fulan baada ya kutoka chuo nikafanya mwaka mmoja... katika kuongeza mkataba wakaangalia perfomance nlikua safi, natimiza majukumu yangu ipasavyo... lakini nikaona wanaleta habar za kujuana na mm nikaona isiwe tabu... nikatolewa..

Nikaenda ofis ingine ikawa ivo ivo ila wale waliokua wanajipendekeza mambo yao yalikua fresh wanaendelea ama wanapewa branch ....

2014 nikasema siwez kufuata matakwa ya watu... nikaanza mishe zangu...

Kuna wakat mambo yalienda sawa... kuna wakati yalivurugika..... lakini nashukuru am boss of my own... najenga empire yangu.... ukiniletea umbea nakufurusha.... nataka uniletee new idea tujadili namna tutasogea.... ..

So mi nadhan kuna watu wameumbwa hivyo ila mazingira/ mazoea ndo yanaathiri...
 

Sina uhakika kama umkweli utakuwa na shida nyingine trust me. Unatuficha na usiulize nimejuwaje.
 
Kamwe siwezi kufitini mtu, uongo naweza sema ila ule ambao unanihusu mimi tu, um beya hapana na ni mwiko kwangu
Umenifurahisha umekuwa mkweli.

Jitahidi na uongo uushinde mkuu,

Uongo wa shetani kwa Hawa (Eva) ndio ulileta anguko la mwanadamu. HATA LEO MWANADAMU ANAPATA TABU SANA kutokana na uongo huo. Kusema uongo sio jambo dogo. Muombe Mungu akusaidie kuushinda, na uwe tayari kusaidika. Barikiwa.


YESU NI BWANA WA MABWANA.
 
Taasisi yeyote inayo endekeza majungu na umbea hufa mapema Sana. Work hard and smart.
 
Pole sana kuna sehemu unatakiwa uishi kulingana na mazingira.

Kama natakiwa nijipendekeze ili mambo yangu yaende najipendekeza vizuri tu, cha msingi sivunji sheria za kazi.
Mbaya sana Moyo kuendeshwa na Mahitaji ya Mwili, siku zote Mwili unaachia vidonda Moyo then vidonda vya vinarudisha madhara mwilini.
 
Motivate me, support me or get out of my way.
 
Element za kujikomba sikujaaliwa kua nazo, na hua spendi mazoea ya kjingakjinga.

1st time wakat naanza form one, tulkua tnafndshwa na wahindi. Walikua na utaratb wa kua na "papets" kila darasa waluwapelekea siri za wanafnzi wengne & hao papets walkua wanapewa vizawadi, vyeo na vitengo vizuri "indirectly"

Sku moja mvua inanyesha wakaniita wakanpa mchongo wote & kaz ya kwanza waliyonpa ni kuandika swahili speakers kila jmos niwe napeleka majina atlest 20 kwa siri.

Nlichokfanya nkawa naandika jina langu pamoja na majina mengine manne ya watu ambao ni most suspected pupets. Baada ya wiki wakaniambia imetosha niache, nkacheka sana.

Hicho kitu kilnifnya nkaish maisha magum sana pale shule, sabab wale watu wanataka ujipendekeze kwao, uwasnitch wanaofanya magendo ndo wakuone ni mwema, kitu amcho skuwahkfanya.

Mpka namaliza form 4 nlikua na suspension mbili kwa makosa mepes sana & nlifukuzwa july nkaja kfnya NECTA tu. Skuona shida ata kdogo.
 
Kwa muda niliokaa jf iko hivi... First comment ina impact kwa comments zifuatazo. Usitarajie kuna mtu atakuja kusema yeye ni fundi wa kulamba viatu.

Baadaye wakifika 500K+ waliocomment nitakurudia ushuhudie
Kawaida mtu huchangia mada anayo ona inamuhusu, sio kwamba hawatakuwepo kabisa wataokiri kujipendekeza lakini ni obvious hawata kuwa wengi unless iwe ni mada ya siasa ambapo kuna watu hutumwa kutetea bila kujali chochote.
 
Mbaya sana Moyo kuendeshwa na Mahitaji ya Mwili, siku zote Mwili unaachia vidonda Moyo then vidonda vya vinarudisha madhara mwilini.

Mkuu cha msingi huvunji sheria wala kusemea unafki wenzako sioni shida.

Mfano kwenda kumsalimia boss wako kuna shida gani?

Kwanza hapa kila mtu anasema hajipendekezi ni waongo🀣🀣🀣
 
Kujipendekeza na umbea ni kipaji, kama vipaji vingine
 
Mkuu cha msingi huvunji sheria wala kusemea unafki wenzako sioni shida.

Mfano kwenda kumsalimia boss wako kuna shida gani?

Kwanza hapa kila mtu anasema hajipendekezi ni waongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi mwenyewe nasugua Benchi mwaka sasa Ila Niko poa Sana Tu, wenzangu wote waliojipendekeza wanakula kuku Ila ukiwaona hawana furaha[emoji16][emoji16][emoji16].

Moyo Una Amani na ngozi imejaa mafuta. Kuna mtu alicoment Kwa kidhungu "Uwepo usiwepo Nitashaini Tu, unipende usinipende huwezi ondoa Furaha yangu" . Mimi ndo nipo hivi maana Furaha yangu ni mwiko kushikiliwa na mtu mwingine [emoji41][emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…