Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..basi sawa ila nimeona umeandika neno Jah kule juu..... stay blessed..
Napenda kutumia hilo neno tyuuuh...basi sawa ila nimeona umeandika neno Jah kule juu..... stay blessed..
Nakuhakikishia siku akikuomba hutokuwa na ujasiri wa kumkatalia kwa kuwa nia yako ni kujipendekeza kwakeUzuri sijawahi kukutana na scenario hiyo katika maisha yangu ya kazi.
Nakuhakikishia siku akikuomba hutokuwa na ujasiri wa kumkatalia kwa kuwa nia yako ni kujipendekeza kwake
Ishu ni kwanini ujipendekeze kwa mwanadamu mwenzio? ??Usiiisemee nafsi ya mwenzio mkuu
Suali watupie mtaa wa pili mabingwa wa kujipendekeza. CCM jibuni suali.Ishu ni kwanini ujipendekeze kwa mwanadamu mwenzio? ??
Wanafiki huwa hawasemi.Nasubiri comment ya MTU ANAEJIPENDEKEZA.
Pacha naomba kaziPole sana.
Binafsi baada ya kukumbana sana na huu ujinga Wa watu kutaka uwapetipeti na kuwalamba lamba miguu nikaamua kujiajiri..
Sasa wao ndo wananitafutaga kuniomba ajira.
Anzisha uzi wa wanaume wenye vibamia waliopo Jf, tuone mutikio utakuwajeKila mtu hapa kasema kujipendekeza hawezi now nani anaweza? Ila jf bwana
Wewe hapo unaweza mkuuKila mtu hapa kasema kujipendekeza hawezi now nani anaweza? Ila jf bwana
Katika kujipendekeza lazima utakua mnafiki na ukiwa mnafiki lazima utapika majungu...na ukipika majungu lazima uwe mlamba majivu...😀😀😀😀Pole sana kuna sehemu unatakiwa uishi kulingana na mazingira.
Kama natakiwa nijipendekeze ili mambo yangu yaende najipendekeza vizuri tu, cha msingi sivunji sheria za kazi.
Ahahaha haha dahWanakupa changamoto uwe mjasiliamali na wewe uajiri watu wajipendekeze kwako.
Yani bosi hata ukivaa vibaya mdela haueleweki utasikia unasifiwa tu.
Utasikia "Bosi hii ya leo umeitoa wapi, Dubai au Paris".
Wakati wewe unaona kabisa hapa hamna kitu mtu anajikomba tu.